Loading...

WIKI HII NDANI YA DStv!!

Loading...
WIKI HII NDANI YA DStv!! - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIKI HII NDANI YA DStv!!, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIKI HII NDANI YA DStv!!
link : WIKI HII NDANI YA DStv!!

soma pia


WIKI HII NDANI YA DStv!!

Mashindano mapya kabisa ya UEFA Nations League yanaanza kutimua vumbi wiki hii huku pazia likifunguliwa na magwiji wawili wa Soka siku ya Alhamisi. Ambapo Ufaransa (Mabingwa wa Dunia) watacheza dhidi ya Ujerumani (Mabingwa wa Dunia waliopita). Kisha kuendelea na Albania dhidi ya Israel siku ya Ijumaa, huku Italy ikiikaribisha Poland siku hiyo hiyo ya Ijumaa na kumaliziwa na Turkey vs Russia.

Jumamosi Switzerland itacheza dhidi ya Iceland, Finland vs Hungary wakati England wakicheza dhidi ya Spain. Na siku ya Jumapili Germany itacheza dhidi ya Peru, France itacheza dhidi ya Netherlands, Bulgaria vs Norway Na Denmark vs Wales!

Mechi hizi zote utazipata ndani ya DStv kuanzia kifurushi chako cha Bomba kwa sh.19, 000 tu! Bila kusahau Jumamosi hii, DStv inakuletea mtanange wa kukata na shoka pale Uganda (The Cranes) watakapozichapa na timu yetu ya Taifa Tanzania yaani Taifa Stars. Macho Na masikio tutayaelekeza Uganda, tarehe 8/9/18 ndani ya Supersport 8 ya kifurushi Bomba kwa sh.19, 000 tu ndani ya DStv pekee!

Moto Hauzimi na kama Sio DStv Potezea!


Hivyo makala WIKI HII NDANI YA DStv!!

yaani makala yote WIKI HII NDANI YA DStv!! Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIKI HII NDANI YA DStv!! mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/wiki-hii-ndani-ya-dstv.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WIKI HII NDANI YA DStv!!"

Post a Comment

Loading...