Loading...

SAMATTA, ULIMWENGU WAWASILI KUIMALIZA UGANDA

Loading...
SAMATTA, ULIMWENGU WAWASILI KUIMALIZA UGANDA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SAMATTA, ULIMWENGU WAWASILI KUIMALIZA UGANDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SAMATTA, ULIMWENGU WAWASILI KUIMALIZA UGANDA
link : SAMATTA, ULIMWENGU WAWASILI KUIMALIZA UGANDA

soma pia


SAMATTA, ULIMWENGU WAWASILI KUIMALIZA UGANDA


Washambuliaji Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wamewasili nchini Alfajiri ya leo kujiunga na timu ya taifa kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Uganda mjini Kampala Jumamosi.
Samatta ambaye pia ni Nahodha wa Taifa Stars, ametokea Ubelgiji anakochezea klabu ya KRC Genk, wakati Ulimwengu ametokea Sudan anakochezea klabu ya El HIlal Omduran.
Wanafanya idadi ya wachezaji wanaocheza nje walioripoti Taifa Stars kufika wanne, baada ya juzi mshambuliaji wa BDF XI ya Botswana, Rashid Mandawa kuwa wa kwanza kuingia akifuatiwa na beki wa Nkana FC, Hassan Kessy.

Kiungo Farid Mussa na mshambuliaji Shaaban Iddi Chilunda wa CD Tenerife ya Hispania wanatarajiwa kuwasili Saa 5:00 asubuhi ya leo wakifuatiwa na beki Abdi Banda wa Baroka FC ya Afrika Kusini, viungo, Himid Mao wa Petrojet ya Misri na Simon Msuva wa Difaa Hassan El-Jadida ya Morocco.
Matarajio ni hadi kufika kesho wachezaji wote wa Taifa Stars wawe wamekamilika tayari kwa safari ya Kampala kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo wa Kundi L kufuzu AFCON ya mwakani nchini Cameroon.
Wachezaji wengine waliopo kambini Taifa Stars ni makipa Aishi Manula wa Simba SC, Benno Kakolanya wa Yanga SC na Mohammed Abdulrahman Wawesha wa JKU, mabeki David Mwantika wa Azam FC, Ally Sonso, Paul Ngalema wa Lipuli FC ya Iringa, Gardiel Michael, Kelvin Yondan na Andrew Vincent ‘Dante’ wa Yanga SC, Aggrey Morris, viungo ni Salum Kimenya wa Tanzania Prisons ya Mbeya, Frank Domayo wa Azam FC, Salum Kihimbwa wa Mtibwa Sugar, Mudathir Yahya na washambuliaji Yahya Zayed wa Azam FC na Kelvin Sabato wa Mtibwa Sugar.


Hivyo makala SAMATTA, ULIMWENGU WAWASILI KUIMALIZA UGANDA

yaani makala yote SAMATTA, ULIMWENGU WAWASILI KUIMALIZA UGANDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SAMATTA, ULIMWENGU WAWASILI KUIMALIZA UGANDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/samatta-ulimwengu-wawasili-kuimaliza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SAMATTA, ULIMWENGU WAWASILI KUIMALIZA UGANDA"

Post a Comment

Loading...