Loading...

AWAMU YA TANO YA MAZUNGUMZO YA KUSAKA AMANI YA BURUNDI YAANZA LEO

Loading...
AWAMU YA TANO YA MAZUNGUMZO YA KUSAKA AMANI YA BURUNDI YAANZA LEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AWAMU YA TANO YA MAZUNGUMZO YA KUSAKA AMANI YA BURUNDI YAANZA LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AWAMU YA TANO YA MAZUNGUMZO YA KUSAKA AMANI YA BURUNDI YAANZA LEO
link : AWAMU YA TANO YA MAZUNGUMZO YA KUSAKA AMANI YA BURUNDI YAANZA LEO

soma pia


AWAMU YA TANO YA MAZUNGUMZO YA KUSAKA AMANI YA BURUNDI YAANZA LEO


 Na Ahmed Mahmoud Arusha

Serikali yashindwa kushiriki licha ya juhudi za msulushi, kundi kubwa la viongozi washiriki wakiwemo marais wastaafu, majadala wa mapitio ya kayanza na enteber kutoka na azimio moja

Mchakato wa mazungumzo ya kusaka amani nchini burundi yameanza rasmi leo ambapo Makubaliano ya Kayanza 1 ,2 na ,makubaliano ya Enteber yanaendelea kujadiliwa ili kuweza kupata taarifa moja ambayo msuluhishi ataipeleka kwenye kikao cha wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika mashariki.

Pamoja na jitihada za Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamini Mkapa ambaye ni msimamizi wa msuluhishi wa amani ya Burundi za kuitaka serikali ya nchi hiyo kuja katika meza ya maungumzo hadi sasa hawajtoa majibu yeyote kama waja au la Juhudi hizo zimepelekea wadau wengine katika mazungumzo ya amani kuendelea na mazungumzo hayo ikiwemo kujadiliana kuhusiana na baada ya serikali kutotuma mwakilishi hadi sasa huku wakiwa hawajatoa majibu kama wanakuja au la.

Akifungua mazungumzo hayo mh.Mkapa akiwa anamaanisha kile alichosema kuwa hadi sasa hakupata maelezo sahihi kutoka kwenye serikali ya Burundi kwani hadi muda huu hawajatoa maelekezo yoyote kama watakuja au hawaji katika mazungumzo hayo. Amesema serikali hiyo imekuwa ikitoa maagizo ya kutaka kusijadiliwe baadhi ya vipengele ikiwemo suala la uchaguzi

Rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin mkapa akifungua majada wa mazungumzo ya kusaka amani ya nchi ya Burundi kwenye ukumbi wa mikutano wa Ngurdoto Mountain Lodge leo wilayani Arusha 



Hivyo makala AWAMU YA TANO YA MAZUNGUMZO YA KUSAKA AMANI YA BURUNDI YAANZA LEO

yaani makala yote AWAMU YA TANO YA MAZUNGUMZO YA KUSAKA AMANI YA BURUNDI YAANZA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AWAMU YA TANO YA MAZUNGUMZO YA KUSAKA AMANI YA BURUNDI YAANZA LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/awamu-ya-tano-ya-mazungumzo-ya-kusaka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AWAMU YA TANO YA MAZUNGUMZO YA KUSAKA AMANI YA BURUNDI YAANZA LEO"

Post a Comment

Loading...