Loading...

JAJI MRUMA AKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA MWANZO MAGOMA-KOROGWE

Loading...
JAJI MRUMA AKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA MWANZO MAGOMA-KOROGWE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAJI MRUMA AKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA MWANZO MAGOMA-KOROGWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAJI MRUMA AKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA MWANZO MAGOMA-KOROGWE
link : JAJI MRUMA AKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA MWANZO MAGOMA-KOROGWE

soma pia


JAJI MRUMA AKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA MWANZO MAGOMA-KOROGWE


Na Amina Ahmad, Mahakama Kuu, Tanga

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Tanga, Mhe. Amir Mruma amemuhimiza Mkandarasi SUMA JKT kuharakisha ukamilishaji wa ujenzi wa Mahakama ya Mwanzo Magoma iliyopo Wilayani Korogwe ili ianze kutumika mara moja.

Akiwa katika ziara ya kikazi Wilayani Korogwe; Mhe. Jaji Mruma alipata fursa ya kutembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Mahakama hiyo Oktoba 23 ambapo hata hivyo aliridhishwa na hatua iliyofikiwa.

Katika ziara yake Wilayani humo, Mhe. Jaji Mfawidhi alifanikiwa pia kukutana na Kamati za Maendeleo za Kata ya Magoma na Mashewa na kutoa elimu juu ya haki na wajibu wa wananchi katika migogoro ya ardhi, kesi za ubakaji, mimba za utotoni na usimamizi wa Mirathi.

Kwa upande wao; Wajumbe wa Kamati za Maendeleo (WDC) walitoa shukrani zao za dhati kwa Jaji Mfawidhi kwani ilikuwa ni mara yao ya kwanza kukutana na Jaji na kupewa elimu ya kisheria, hali iliyowapelekea kumuomba Jaji Mfawidhi aendelee na utarabu wa kukutana nao mara kwa mara kuwajengea wigo na uelewa mpana wa masuala ya kisheria ili kufanikisha majukumu yao.

Muonekano wa jengo la Mahakama ya Mwanzo Magoma lililopo katika hatua za mwisho za ujenzi. 
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Tanga, Mhe. Amiri Rajabu Mruma (kushoto) akipokea maelezo kutoka kwa Fundi wa Kampuni ya SUMA JKT alipokuwa akikagua ujenzi wa jengo la Mahakama ya Mwanzo Magoma Wilayani Korogwe. 
Mhe. Jaji Mruma akiendelea na ukaguzi. 
Jaji Mruma akitoa elimu kwa Wajumbe wa Kamati ya maendeleo ya Kata ya Hale Wilayani Korogwe. 




Hivyo makala JAJI MRUMA AKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA MWANZO MAGOMA-KOROGWE

yaani makala yote JAJI MRUMA AKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA MWANZO MAGOMA-KOROGWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAJI MRUMA AKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA MWANZO MAGOMA-KOROGWE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/jaji-mruma-akagua-mradi-wa-ujenzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAJI MRUMA AKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA MWANZO MAGOMA-KOROGWE"

Post a Comment

Loading...