Loading...

BENKI YA CRDB YATWAA TUZO MAONYESHO YA VIWANDA MKOANI PWANI

Loading...
BENKI YA CRDB YATWAA TUZO MAONYESHO YA VIWANDA MKOANI PWANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA CRDB YATWAA TUZO MAONYESHO YA VIWANDA MKOANI PWANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA CRDB YATWAA TUZO MAONYESHO YA VIWANDA MKOANI PWANI
link : BENKI YA CRDB YATWAA TUZO MAONYESHO YA VIWANDA MKOANI PWANI

soma pia


BENKI YA CRDB YATWAA TUZO MAONYESHO YA VIWANDA MKOANI PWANI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimkabidhi tuzo Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela, kwa kuwa wadamini wakuu wa Maonyesho ya Viwanda Mkoa wa Pwani, yaliyofunguliwa rasmi leo Oktoba 29, 2018, katika viwanja vya Sabasaba, Kibaha picha ya Ndege, Mkoani Pwani. Katikati ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela, akitoa hotuba yake wakati wa Maonyesho ya Viwanda Mkoa wa Pwani, yaliyofunguliwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 29, 2018, katika viwanja vya Sabasaba, Kibaha picha ya Ndege, Mkoani Pwani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela, baada ya kutoa hotuba yake wakati wa Maonyesho ya Viwanda Mkoa wa Pwani, yaliyofunguliwa rasmi leo Oktoba 29, 2018, katika viwanja vya Sabasaba, Kibaha picha ya Ndege, Mkoani Pwani. Benki ya CRDB ni wadhamini wakuu wa Maonyesho hayo. Katikati ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela, wakati wa Maonyesho ya Viwanda Mkoa wa Pwani, yaliyofunguliwa rasmi leo Oktoba 29, 2018, katika viwanja vya Sabasaba, Kibaha picha ya Ndege, Mkoani Pwani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa (wa tatu kulia) alipokuwa akimueleza machache juu ya huduma wanazotoa, wakati alipotembelea Banda la Benki ya CRDB, kwenye Maonyesho ya Viwanda Mkoa wa Pwani, yaliyofunguliwa rasmi leo Oktoba 29, 2018, katika viwanja vya Sabasaba, Kibaha picha ya Ndege, Mkoani Pwani. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela.



Hivyo makala BENKI YA CRDB YATWAA TUZO MAONYESHO YA VIWANDA MKOANI PWANI

yaani makala yote BENKI YA CRDB YATWAA TUZO MAONYESHO YA VIWANDA MKOANI PWANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CRDB YATWAA TUZO MAONYESHO YA VIWANDA MKOANI PWANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/benki-ya-crdb-yatwaa-tuzo-maonyesho-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA CRDB YATWAA TUZO MAONYESHO YA VIWANDA MKOANI PWANI"

Post a Comment

Loading...