Loading...
title : Italia yaiahidi Afrika Ushirikiano wa kiuchumi
link : Italia yaiahidi Afrika Ushirikiano wa kiuchumi
Italia yaiahidi Afrika Ushirikiano wa kiuchumi
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Italia na Afrika wameazimia kukuza na kuimarisha Ushirikiano katika nyanja mbalimbali, hususan biashara na uwekezaji kwa ajili ya maendeleo ya kweli barani Afrika.
Mawaziri hao walifikia azimio hilo wakati wa mkutano wa pili wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Italia na Afrika uliofanyika Farnesina, Italia tarehe 25 Oktoba 2018 na kuhudhuriwa na Mawaziri wa zaidi ya nchi 40 akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb).
Mawaziri hao walikutana kwa madhumuni ya kujadili kwa pamoja changamoto zinazohusu usalama, uhuru, amani, demokrasia na namna wadau wa Italia (wenye viwanda, Wafanyabiashara, wanazuoni na taasisi zisizo za kiserikali) watakavyoweza kushiriki katika kukuza uchumi barani Afrika hasa katika sekta ya uwekezaji na biashara.
Hivyo makala Italia yaiahidi Afrika Ushirikiano wa kiuchumi
yaani makala yote Italia yaiahidi Afrika Ushirikiano wa kiuchumi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Italia yaiahidi Afrika Ushirikiano wa kiuchumi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/italia-yaiahidi-afrika-ushirikiano-wa.html
0 Response to "Italia yaiahidi Afrika Ushirikiano wa kiuchumi"
Post a Comment