Loading...
title : BODA BODA 100 MBAGALA WAHITIMU MAFUNZO YA UDEREVA , WALIA NA KAMATAKAMATA YA TRAFFIKI.
link : BODA BODA 100 MBAGALA WAHITIMU MAFUNZO YA UDEREVA , WALIA NA KAMATAKAMATA YA TRAFFIKI.
BODA BODA 100 MBAGALA WAHITIMU MAFUNZO YA UDEREVA , WALIA NA KAMATAKAMATA YA TRAFFIKI.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke Almishi Hazali , akizungumza na wahitimu wa mafunzo ya Usalama barabarani,hawapo pchani .
Na. John Luhende
Mwamba wa habari
Madereva na wamiliki wa Boda boda kata ya Kilungule Mbagala Manispaa ya Temeke wamaetakiwa kufuata sheri a za barabarani ili kupunguza ajali zinazo sababishwa na uzembe na kutotii sheria.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke Almishi Hazali ,alipo kuwa mgeni rasmi katika kilele cha mafunzo kwa madereva Pikipiki kata ya kilungule na kuwataka kuiona kazi ya kuwa nikazi kama kazi nyingine.
“Kuendesha Bodaboda niajajira na nikazi kama kazi nyingine Rais wetu Dkt John Pombe Magufuli anataka tufanye kazi na amesema hapa kazi tu ikiwemo ninyi ,hayo malalamiko kuhusu polisi sisi chama kama wasimamizi wa Serikali tutaya fikisha kwa DC naye atazungumza nao” alisema.
Kwaupande wake meneja Operesheni wa kampuni ya TAMOBA Erasto Lahi , iliyopewa dhamana ya kufunga mfumo maalumu wa kuzuia na kudhibiti wizi wa pikipiki ambayo pia imetoa mafunzo hayo kwa madereva 100 waliohitimu leo, amesema tangu wameanza kutoa mafunmzo haya kumekuwa na mabadiliko kwa ambapo matukio ya ajali za pikipiki zimepungua .
Naye Inspekta Philipina, Masidizi RTO Temeke amewata madereva hao kufuata sheria za sheria za usalama barabarani na kusema kuwa atazifdanyia kazi kero zao na kueleza kuwa askari wasikuwa waaminifu waliokuwa wanalichafua jeshihilo wamesha ondoshwa.
Nao Madereva hao kutokaka chama cha wamiliki na Madereva Pikipiki mkoa wa Dar es salaam CMPD wilaya ya Temeke,wakitoakiliochao kwa mkuu huyo nao wamesema Kuna baadhi ya Askali wasio waaminifu wamekuwa wakiwaonea kwa kwalengo la kutaka Rushwa hata kama hawana makosa wamekuwa wakiwanyanyasa.
‘’Askari wamekuwa wanavaakiraia na kutufuata hadi nyumbani mimi walinipiga mimi nja mke wangu pikipiki ilikuwa ndani wakitoa wakaipeleka kituoni wakaniweka ndani sikumbili naomba mkuu na sisi ni raia wema wasitufanyie hayo mke wangu hadi leo anaugulia maumivu kwa kipigo hicho”. Alisema mmoja wa boda boda hao.
Hivyo makala BODA BODA 100 MBAGALA WAHITIMU MAFUNZO YA UDEREVA , WALIA NA KAMATAKAMATA YA TRAFFIKI.
yaani makala yote BODA BODA 100 MBAGALA WAHITIMU MAFUNZO YA UDEREVA , WALIA NA KAMATAKAMATA YA TRAFFIKI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BODA BODA 100 MBAGALA WAHITIMU MAFUNZO YA UDEREVA , WALIA NA KAMATAKAMATA YA TRAFFIKI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/boda-boda-100-mbagala-wahitimu-mafunzo.html
0 Response to "BODA BODA 100 MBAGALA WAHITIMU MAFUNZO YA UDEREVA , WALIA NA KAMATAKAMATA YA TRAFFIKI."
Post a Comment