Loading...
title : MTAYARISHAJI WA MUZIKI NCHINI PANCHO LATINO KUZIKWA KWAO GAIRO MKOANI MOROGORO.
link : MTAYARISHAJI WA MUZIKI NCHINI PANCHO LATINO KUZIKWA KWAO GAIRO MKOANI MOROGORO.
MTAYARISHAJI WA MUZIKI NCHINI PANCHO LATINO KUZIKWA KWAO GAIRO MKOANI MOROGORO.
Muandaaji wa Muziki nchini Tanzania, Producer Pancho Latino almaarufu Mafia ambae alifanya kazi kwenye studio mbalimbali aliyefariki jana kwa kuzama kwenye maji kwenye kisiwa cha Mbudya Dar es Salaam anatarajia kuzikwa Wilayani Gairo, Morogoro.
Kwa mujibu wa taarifa iliyoandikwa na Msanii Fid Q katika ukurasa wake wa Twitter imesema kuwa Marehemu Pancho Latino itahitimishwa siku ya Jumamosi nyumbani kwao. Ibada itaanza saa 4 asubuhi, na baadae wataaga mwili wa marehemu na maziko yatafanyika saa nane mchana. Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya Lugalo kwa uchunguzi zaidi.
Hivyo makala MTAYARISHAJI WA MUZIKI NCHINI PANCHO LATINO KUZIKWA KWAO GAIRO MKOANI MOROGORO.
yaani makala yote MTAYARISHAJI WA MUZIKI NCHINI PANCHO LATINO KUZIKWA KWAO GAIRO MKOANI MOROGORO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MTAYARISHAJI WA MUZIKI NCHINI PANCHO LATINO KUZIKWA KWAO GAIRO MKOANI MOROGORO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/mtayarishaji-wa-muziki-nchini-pancho.html
0 Response to "MTAYARISHAJI WA MUZIKI NCHINI PANCHO LATINO KUZIKWA KWAO GAIRO MKOANI MOROGORO."
Post a Comment