Loading...
title : BREAKING NEWS, RC MAKONDA ATANGAZA VITA NA MAKUNDI HAYA.
link : BREAKING NEWS, RC MAKONDA ATANGAZA VITA NA MAKUNDI HAYA.
BREAKING NEWS, RC MAKONDA ATANGAZA VITA NA MAKUNDI HAYA.
Na. John Luhende
Mwambawahabari
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, amesema ameunda kamati itakayosaidaia shughuli kia mahoga na wanao endesha biashara ya ukahaba.
Akizungumza Leo na waandishi wa habari ofisini kwake amesema kamati hiyo itaundwa na watu kuanzia 17, itashughulikia na kubaini wanao endesha biashara hizo katika mitandao ya kijamii, Madangulo, na wanaofanya utapeli kwa kupitia majina ya viongozi wakuu wa Serikali kwajipatia fedha kwa njia ya udanganyifu,ambapo amesema kazi hiyo itaanza tarehe 5Novemba mwaka huu.
Kituo cha kamati kitakuwa Mburahati naitaundwa na makundi matano, body ya filamu, TCRA, wataalamu kutoka Jeshi la Polisi, Madaktari, na wataalamu wa saikolojia, Napenda niwaaombe wote wenye picha za ngono katika simu zao wazi fute kuanzia jumatatu msakoutaanza.
Amesema baadhi ya watu wengine walionayo kwenye vitendo vya ushoga kwa Kubakwa,wanatamanikuacha na wanahitaji msaada.
"Nawaomba watanzania tushirikinekuyakataa mambo haya, taifa linapata laana, Tunamwombea Mungu mambo mengine hayafanikiwi kwa sababu ya lana hizi, mpaka leo nimepata SMS zaidi ya 18,000,zinatakiwa mashoga na wanaoshiriki vitendo hivyo na kuensha mdanguro .
Ameyataka Mataifa mengine kutoingilia mambo ya yanchi nakama wao Sheria zao zinazo kubali ushoga basi wao wanaweza kuwachukua wakaishi nao.
Pamoja na hayo RC Makonda amesema wanaume wote wataotajwa kushiriki vitendo na mashoga watachukuliwahatua za kisheria na watakiwa ili kubaini ushiriki wao.
"Nawaomba watu wa haki za binadamu na Mataifa yanje watu ache maana kwetu hayo mambo hatuyakubali kisheria " alisema.
Hivyo makala BREAKING NEWS, RC MAKONDA ATANGAZA VITA NA MAKUNDI HAYA.
yaani makala yote BREAKING NEWS, RC MAKONDA ATANGAZA VITA NA MAKUNDI HAYA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS, RC MAKONDA ATANGAZA VITA NA MAKUNDI HAYA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/breaking-news-rc-makonda-atangaza-vita.html
0 Response to "BREAKING NEWS, RC MAKONDA ATANGAZA VITA NA MAKUNDI HAYA."
Post a Comment