Loading...
title : BREAKING NYUUUUZZZZ: MASHA, CHEGENI NA VIJANA WENGINE 10 WATIWA MBARONI JIJINI MBEYA LEO
link : BREAKING NYUUUUZZZZ: MASHA, CHEGENI NA VIJANA WENGINE 10 WATIWA MBARONI JIJINI MBEYA LEO
BREAKING NYUUUUZZZZ: MASHA, CHEGENI NA VIJANA WENGINE 10 WATIWA MBARONI JIJINI MBEYA LEO
ALIEYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Laurence Masha pamoja na Mbunge wa Jimbo la Busega Raphael Chegeni na vijana wengine 10 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wakituhumiwa kufanya vurugu kwenye nyumba ya mwekezaji wa matunda ya Parachichi Peter Cruise na kutoa vyombo vyake nje kinyume cha taratibu. Watuhumiwa hao wanadaiwa kufanya kosa hilo Oktoba 27 majira ya saa tatu asubuhi kwenye makazi ya mwekezaji yaliyopo katika eneo la Rungwe Mission na kuharibu mali hali iliyozua mabishano makali kabla jeshi la polisi kufika eneo la tukio na kuwakamata watuhumiwa ambao watafikishwa mahakama mara baada ya uchunguzi kukamilika.
Masha na wenzake wanadaiwa kufika nyumbani kwa mwekezaji huyo kwa kuvunja mlango wa nyumba na kisha kutoa vyombo nje kwa nguvu . Kamanda wa polisi mkoani Mbeya Ulrich Matei amekiri kukamatwa kwa watu hao na kueleza kuwa hana taarifa za ujio wao licha ya kudai wanakwenda kutekeleza amri ya mahakama inayowapa uhalali wa kunmwondoa mwekezaji huyo kwenye makazi
Michuzi Update
Hivyo makala BREAKING NYUUUUZZZZ: MASHA, CHEGENI NA VIJANA WENGINE 10 WATIWA MBARONI JIJINI MBEYA LEO
yaani makala yote BREAKING NYUUUUZZZZ: MASHA, CHEGENI NA VIJANA WENGINE 10 WATIWA MBARONI JIJINI MBEYA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NYUUUUZZZZ: MASHA, CHEGENI NA VIJANA WENGINE 10 WATIWA MBARONI JIJINI MBEYA LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/breaking-nyuuuuzzzz-masha-chegeni-na.html
0 Response to "BREAKING NYUUUUZZZZ: MASHA, CHEGENI NA VIJANA WENGINE 10 WATIWA MBARONI JIJINI MBEYA LEO"
Post a Comment