Loading...
title : MASHA NA MBUNGE CHEGENI WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUFANYA VURUGU KWA MWEKEZAJI WA MATUNDA MKOANI MBEYA
link : MASHA NA MBUNGE CHEGENI WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUFANYA VURUGU KWA MWEKEZAJI WA MATUNDA MKOANI MBEYA
MASHA NA MBUNGE CHEGENI WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUFANYA VURUGU KWA MWEKEZAJI WA MATUNDA MKOANI MBEYA
ALIEYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Lauwrence Masha pamoja na Mbunge wa Jimbo la Busega Raphael Chegeni na vijana wengine 10 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wakituhumiwa kufanya vurugu kwenye nyumba ya mwekezaji wa matunda ya Parachichi Peter Cruise na kutoa vyombo vyake nje kinyume cha taratibu.
Watuhumiwa hao wanadaiwa kufanya kosa hilo Oktoba 27,2018 majira ya saa tatu asubuhi kwenye makazi ya mwekezaji yaliyopo katika eneo la Rungwe Mission na kuharibu mali hali iliyozua mabishano makali kabla jeshi la polisi kufika eneo la tukio na kuwakamata watuhumiwa ambao watafikishwa mahakama mara baada ya uchunguzi kukamilika.
Masha na wenzake wanadaiwa kufika nyumbani kwa mwekezaji huyo kwa kuvunja mlango wa nyumba na kisha kutoa vyombo nje kwa nguvu .
Kamanda wa polisi mkoani Mbeya Ulrich Matei amekiri kukamatwa kwa watu hao na kueleza kuwa hana taarifa za ujio wao licha ya kudai wanakwenda kutekeleza amri ya mahakama inayowapa uhalali wa kunmwondoa mwekezaji huyo kwenye makazi.
Hivyo makala MASHA NA MBUNGE CHEGENI WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUFANYA VURUGU KWA MWEKEZAJI WA MATUNDA MKOANI MBEYA
yaani makala yote MASHA NA MBUNGE CHEGENI WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUFANYA VURUGU KWA MWEKEZAJI WA MATUNDA MKOANI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MASHA NA MBUNGE CHEGENI WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUFANYA VURUGU KWA MWEKEZAJI WA MATUNDA MKOANI MBEYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/masha-na-mbunge-chegeni-washikiliwa-na.html
0 Response to "MASHA NA MBUNGE CHEGENI WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUFANYA VURUGU KWA MWEKEZAJI WA MATUNDA MKOANI MBEYA"
Post a Comment