Loading...
title : CARDINAL PENGO: MIAKA 150 YA KANISA KATOLIKI ITUMIKE KUIMARISHA UMOJA NA AMANI YA KITAIFA ILIYOPO
link : CARDINAL PENGO: MIAKA 150 YA KANISA KATOLIKI ITUMIKE KUIMARISHA UMOJA NA AMANI YA KITAIFA ILIYOPO
CARDINAL PENGO: MIAKA 150 YA KANISA KATOLIKI ITUMIKE KUIMARISHA UMOJA NA AMANI YA KITAIFA ILIYOPO
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Askofu Mkuu wa Kanisa Katolini Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mwadhama Polycap Cardinali Pengo ametoa salamu na ujumbe kwa Wakatoliki wote nchini kutumia muda huu wa kuadhimisha miaka 150 ya ujio wa kanisa yatakayofanyika huko bagamoyo kwa kudumisha amani na unjilishaji.
Pengo amesema tangu kuanzishwa kwa kanisa hilo hapa nchini Kanisa nchi yetu imetuwekea mazingira mazuri ya kuabudu na uhuru wa kuabudu nchini.
"nadhani tunao uhuru wa kuabudu uhuru wa kuabudu maana yake sio kanisa katoliki ndio libake peke yake ibada zinafanyika kulingana na madhehebu na dini kama dini hapa mashariki atugombani licha ya kusikia watu wanamulekeo tofauti lakini bado atujasikia watu wakigombana kwa ajili ya dini"amesema Pengo.
Cardinal Pengo amesema kuwa katika miaka 150 ya Kanisa hapa Tanzania Bara Kanisa limeweza kutoa huduma za kijamii kwa kujenga Vituo vya Afya, Shule na huduma za Mawasiliano katika maeneo mbalimbali.
Pengo ameweza kuzungumza juu ya migogoro katika Makanisa na kusema kuwa migogoro katika Kanisa jambo linasikitisha aipaswikuwepo kama watu wapo wanatafuta amani na wana malengo kama ya Kanisa ni vyema ikakoma kabisa.
amemaliza kwa kusema kuwa katika kuhadhimisha miaka 150 ya Kanisa angetamani matokeo yake ni kuimarika kwa uinjilishaji na chimbuko lake jambo kuu liliete Munngano kwa wananchi wote licha ya kuwa na tofauti zetu za kidini na kiimani
Askofu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycap Cardinali Pengo akzingumza na Waandishi wa Habari kuhusu Jubilei ya Miaka 150 ya kanisa Katoliki tangu liingie Tanzania na kusambaa mikoani.
Waandishi wa Habari wakifatilia Mkutano Mwadhama Polycap Cardinali Pengo uliofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala CARDINAL PENGO: MIAKA 150 YA KANISA KATOLIKI ITUMIKE KUIMARISHA UMOJA NA AMANI YA KITAIFA ILIYOPO
yaani makala yote CARDINAL PENGO: MIAKA 150 YA KANISA KATOLIKI ITUMIKE KUIMARISHA UMOJA NA AMANI YA KITAIFA ILIYOPO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CARDINAL PENGO: MIAKA 150 YA KANISA KATOLIKI ITUMIKE KUIMARISHA UMOJA NA AMANI YA KITAIFA ILIYOPO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/cardinal-pengo-miaka-150-ya-kanisa.html
0 Response to "CARDINAL PENGO: MIAKA 150 YA KANISA KATOLIKI ITUMIKE KUIMARISHA UMOJA NA AMANI YA KITAIFA ILIYOPO"
Post a Comment