Loading...

CHAMA CHA MAPINDUZI KUWACHUKULIA HATUA KALI WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO SOMA MAPATO NA MATUMIZI

Loading...
CHAMA CHA MAPINDUZI KUWACHUKULIA HATUA KALI WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO SOMA MAPATO NA MATUMIZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHAMA CHA MAPINDUZI KUWACHUKULIA HATUA KALI WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO SOMA MAPATO NA MATUMIZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHAMA CHA MAPINDUZI KUWACHUKULIA HATUA KALI WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO SOMA MAPATO NA MATUMIZI
link : CHAMA CHA MAPINDUZI KUWACHUKULIA HATUA KALI WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO SOMA MAPATO NA MATUMIZI

soma pia


CHAMA CHA MAPINDUZI KUWACHUKULIA HATUA KALI WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO SOMA MAPATO NA MATUMIZI

Katika Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Kata ya Mtoni Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam Ndg. Humphrey Polepole Katibu Mwenezi wa CCM amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitawachukulia hatua kali Wenyeviti wa Serikali za Mitaa wanaotokana na CCM wasio soma mapato na matumizi kwa wananchi kwa mujibu wa Sheria.

Akifafanua suala hilo Ndg. Polepole ameeleza kuwa kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa wa Mwaka 2019 CCM inahitaji watu watakao kuwa Viongozi wa wananchi kupitia CCM wenye sifa nzuri kwenye mitaa yao, amekemea suala la urafiki, undugu na upangaji wa safu katika mchakato wa kuwapata viongozi wa wananchi na amewataka Viongozi wa CCM na Viongozi wa Serikali ngazi zote kuwa na ushirikiano kwa lengo la kuwaletea maendeleo wananchi kwa haraka.

“Wapo wenyeviti wa Serikali za Mitaa wa CCM wasio soma mapato na matumizi…watu jeuri… wanafanya nini kwenye Chama chetu..? hawa hatuendi nao hadi mwaka 2019…kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mwakani tunataka watu wenye sifa nzuri” amesisitiza Ndg. Polepole

Aidha Ndg. Polepole ametumia mkutano huo kusisitiza kuhusu suala la  Viongozi wa Serikali hususani wakuu wa Wilaya kuendeleza utaratibu wa kusikiliza wananchi na utolewaji wa mikopo ya Halmashauri bila riba kwa makundi ya kina Mama, Vijana na Watu wenye ulemavu ili kuwawezesha wananchi kiuchumi na kutatua shida na changamoto zao kwa haraka.

Huu ni muendelezo wa vikao vya ujenzi na uimarishaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuhakikisha dhana ya Chama imara, Serikali imara inadhihirika.
 Katibu Mwenezi wa CCM Ndg. Humphrey Polepole akizungumza Katika Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Kata ya Mtoni Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam 


Hivyo makala CHAMA CHA MAPINDUZI KUWACHUKULIA HATUA KALI WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO SOMA MAPATO NA MATUMIZI

yaani makala yote CHAMA CHA MAPINDUZI KUWACHUKULIA HATUA KALI WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO SOMA MAPATO NA MATUMIZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHAMA CHA MAPINDUZI KUWACHUKULIA HATUA KALI WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO SOMA MAPATO NA MATUMIZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/chama-cha-mapinduzi-kuwachukulia-hatua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CHAMA CHA MAPINDUZI KUWACHUKULIA HATUA KALI WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO SOMA MAPATO NA MATUMIZI"

Post a Comment

Loading...