Loading...
title : DC MURO ATEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA MBUYUNI
link : DC MURO ATEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA MBUYUNI
DC MURO ATEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA MBUYUNI
Imma Msumba, Arumeru.
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mh.Jerry Muro amefanya ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Kituo cha Afya cha Mbuyuni kilichopo katika Halmashauri ya Arusha Dc ambacho Serikali imetenga fedha Milioni 400 kwa ajili ya ujenzi wa Maabara na Nyumba ya Mtumishi wa kituo hicho pamoja na kufanya ukarabati wa majengo yaliyokuwepo kwa lengo la kuwapa wananchi huduma bora za afya na kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi.
Dc Muro akikagua ujenzi wa Kituo hicho ameleza kuwa dhamira ya Serikali ya Awamu ya Tano ni kuleta mabadiliko makubwa katika sekta ya Afya kwa kuimarisha huduma za Afya na kujenga vituo vyenye hadhi vijijini.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi hiyo ya Ujenzi wa Kituo hicho Ndg.Leskara Olerangai Ambaye pia ni Diwani mstaafu wa kata ya Oljoro ameipongeza Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli kwa kuwezesha kutoa fedha kwa wakati huku akimpongeza Dc Muro kwa jitihada zake anazozifanya ili kuhakikisha ujenzi una kamilika kwa wakati.
Hivyo makala DC MURO ATEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA MBUYUNI
yaani makala yote DC MURO ATEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA MBUYUNI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MURO ATEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA MBUYUNI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/dc-muro-atembelea-na-kukagua-ujenzi-wa.html
0 Response to "DC MURO ATEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA MBUYUNI"
Post a Comment