Loading...
title : Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Chatoa Mkono wa Pole Kwa Uongozi wa Hoteli ya Uroa Bay.
link : Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Chatoa Mkono wa Pole Kwa Uongozi wa Hoteli ya Uroa Bay.
Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Chatoa Mkono wa Pole Kwa Uongozi wa Hoteli ya Uroa Bay.
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Watoa Mkono wa Pole kwa Uongozi wa Hoteli ya Uroa Bay, kutokana na Ajali iliotokea wiki iliopia na kufariki Wafanyakazi wa Hoteli hiyo, Ujumbe huo ukiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Ndg. Ramadhani Ali Kichupa na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Ndg Haidar Haji Abdalla, akitowa maelezo Katibu wa CCM wa Mkoa Kusini Unguja, Ndg.Suleiman Mzee (Charas) na kuutambulisha Ujumbe huo kwa Uongozi wa Hoteli hiyo.kulia Mmiliki wa Hoteli Mr. Andrea Balladini.
Hivyo makala Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Chatoa Mkono wa Pole Kwa Uongozi wa Hoteli ya Uroa Bay.
yaani makala yote Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Chatoa Mkono wa Pole Kwa Uongozi wa Hoteli ya Uroa Bay. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Chatoa Mkono wa Pole Kwa Uongozi wa Hoteli ya Uroa Bay. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/chama-cha-mapinduzi-mkoa-wa-kusini.html
0 Response to "Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Chatoa Mkono wa Pole Kwa Uongozi wa Hoteli ya Uroa Bay."
Post a Comment