Loading...
title : DC KINONDONI AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MWENGE
link : DC KINONDONI AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MWENGE
DC KINONDONI AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MWENGE
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Daniel Chongolo akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Mwenge alipokutana nao kwenye ukumbi wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo kulia ni Kazi Maduhu Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni na kushoto ni Mweka hazina wa Manispaa hiyo Bw. Max Tabonwa.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Daniel Chongolo akimsikiliza Kazi Maduhu Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni wakati akitoa ratiba ya kikao cha mkuu huyo wa wilaya ya wafanyabiashara, kushoto ni Mweka hazina wa Manispaa hiyo Bw. Max Tabonwa.
Mmoja wa wamiliki wa majengo katika eneo la soko la mwenge akichangia hoja katika mkutano huo.
Baadhi ya wafanyabiashara wakiwa katika mkutano huo.
Mmoja wa wafanyabiashara akizungumza katika kikao hicho.
Hivyo makala DC KINONDONI AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MWENGE
yaani makala yote DC KINONDONI AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MWENGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC KINONDONI AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MWENGE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/dc-kinondoni-akutana-na-wafanyabiashara.html
0 Response to "DC KINONDONI AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MWENGE"
Post a Comment