Loading...

Maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani yafanyika Gombani Pemba

Loading...
Maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani yafanyika Gombani Pemba - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani yafanyika Gombani Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani yafanyika Gombani Pemba
link : Maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani yafanyika Gombani Pemba

soma pia


Maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani yafanyika Gombani Pemba


AFISA Mdhamini Wizara ya Afya Pemba Shadia Shaban Seif, akizungumza na wananchi waliohudhuria maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani, ambapo kitaifa kwa Zanzibar yameadhimishwa katika uwanja wa michezo Gombani Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WANANCHI mbali mbali kIsiwani Pemba wakifuatilia kwa makini maadhimisho ya siku ya kifua kikuu Duniani, kitaifa kwa Zanzibar yamefanyika katika viwanja vya michezo Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WASANII kutoka kikundi cha Jufe Filam Prodaction, wakionyesha mchezo wa kuigiza juu ya kuhamasisha wananchi kutumia vituo vya afya pale wanapokuwa na Kifua Kikuu na sio kukimbilia kwa waganga.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
NAIBU Waziri wa Wizara ya Afya Zanzibar Harusi Said Suleiman, akitoa neno la shukurani wakati wa maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani, kitaifa kwa Zanzibar yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
  MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman, akizungumza na wananchi mbali mbali Kisiwani Pemba, wakati wa maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani, kitaifa kwa Zanzibar yameadhimishwa katika viwanja vya michezo Gomabni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
  MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman, akizungumza na wananchi mbali mbali Kisiwani Pemba, wakati wa maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani, kitaifa kwa Zanzibar yameadhimishwa katika viwanja vya michezo Gomabni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MUHAMASISHAJI masuala ya afya ya jamii Ahmed Issa Mohamed, akimpatia mmoja ya wananchi kuchupa cha kwenda kutia makohozi kwa ajili ya kwenda kupimwa, ili kujulikana kama ni kifua kikuu au maradhi mengine, huko katika uwanja wa michezo Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamsi Othaman, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbali mbali wa Wizara ya Afya na watendaji wa kitengo cha TB Pemba, mara baada ya kumalizika kwa maadhimisho ya siku ya Kifua kikuu Duniani huko katika viwanja vya michezo Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


Hivyo makala Maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani yafanyika Gombani Pemba

yaani makala yote Maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani yafanyika Gombani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani yafanyika Gombani Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/maadhimisho-ya-siku-ya-kifua-kikuu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani yafanyika Gombani Pemba"

Post a Comment

Loading...