Loading...
title : DC MJEMA AMWAGIZA MKURUGENZI WA MANISPAA YA ILALA KUWACHUNGUZA NA KUWA CHULA HATUA WATENDAJI WANAOLALAMIKIWA NA WANANCHI.
link : DC MJEMA AMWAGIZA MKURUGENZI WA MANISPAA YA ILALA KUWACHUNGUZA NA KUWA CHULA HATUA WATENDAJI WANAOLALAMIKIWA NA WANANCHI.
DC MJEMA AMWAGIZA MKURUGENZI WA MANISPAA YA ILALA KUWACHUNGUZA NA KUWA CHULA HATUA WATENDAJI WANAOLALAMIKIWA NA WANANCHI.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe.Sophia Mjema akizungumza na wakazi wa Mchikichini Katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Leo, jijini Dar es Salaam Katika mwendelezo was Ziara yake ya kutembelea kata kwa kata mitaa kwa mitaa kusikiliza Kero za wananchi.
Katibu tawala Manispaa ya Ilala Shaila Lukuba, akizungumza na wananchi wa Mchikichini wakati akitoa utambulisho wa watendaji mbalimbali walioambatana na Mkuu wa Wilaya Katika Ziara hiyo.
Mmoja wa wakazi wa kata ya Mchikichini, akiwasilisha Kero yake.
Waendesha Bodaboda wa Ilala wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe.Sophia Mjema
Wananchi wa Mchikichini wakimsikiliza Mkuu was Wilaya ya Ilala.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe.Sophia Mjema ,amemwagiza mkurugenzi wa Manispaa hiyo kuhakikisha anawafuatilia Watendaji wake ili kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao ya kuwa hudumia wananchi.
DC Mjema ameyasema hayo, kutokana na wakazi wa kata hiyo kulalamikia kuwa Diwani wa kata ya Mchikichini hajawahi kufika kusikiliza Kero zao Jambo linalopelea changamoto nyingi kuwakabili na kukosa wa kuwatatulia.
Amesema kuhusu Kero ya Diwani kulalamikiwa kutowajibika ipasavyo, watalifanyia kazi ili waweze kuliwasilisha Katika ngazi ya mkoa ili kuweza kuangalia tuhuma izo.
"Hapa Kama tulivyosikia kwamba wanasema Diwani ndo Kwanza wanamuona Leo, Sasa Diwani akishachukua madaraka yake, anapaswa kuchukua Kero za wananchi ili kuweza kuziwasilisha ili zifanyiwe kazi"Amesema Mjema.
Aidha amezungumzia Kero iliyolalamikiwa kuwa wameambiwa waondoke Katika maeneo yao, ambapo Amesema Kuna mpango wa World Benki kwa ajili ya kusafisha mto Msimbazi,kwanzia mwanzo Hadi baharini.
Amesema wananchi waendelee kukaa kwenye Makazi yao kwani hakuna mpango wa kuwahamisha,ila amewataka wenyeviti wa Mchikichini kuchangamkia zoezi la Urasimishaji ili wakazi hao waweze kupata leseni za Makazi yao.
Kwa Upande wao wakazi wa kata hiyo,wamemshukuru DC Mjema kwa kuwaona na kufanya Ziara Katika kata yao kwani hawakuwahi kufanya mikutano yoyoyte na viongozi wa ngazi ya chini
Hivyo makala DC MJEMA AMWAGIZA MKURUGENZI WA MANISPAA YA ILALA KUWACHUNGUZA NA KUWA CHULA HATUA WATENDAJI WANAOLALAMIKIWA NA WANANCHI.
yaani makala yote DC MJEMA AMWAGIZA MKURUGENZI WA MANISPAA YA ILALA KUWACHUNGUZA NA KUWA CHULA HATUA WATENDAJI WANAOLALAMIKIWA NA WANANCHI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA AMWAGIZA MKURUGENZI WA MANISPAA YA ILALA KUWACHUNGUZA NA KUWA CHULA HATUA WATENDAJI WANAOLALAMIKIWA NA WANANCHI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/dc-mjema-amwagiza-mkurugenzi-wa.html
0 Response to "DC MJEMA AMWAGIZA MKURUGENZI WA MANISPAA YA ILALA KUWACHUNGUZA NA KUWA CHULA HATUA WATENDAJI WANAOLALAMIKIWA NA WANANCHI."
Post a Comment