Loading...

DC MURO AENDELEA KUKABILIANA NA KERO ZA MAJI.

Loading...
DC MURO AENDELEA KUKABILIANA NA KERO ZA MAJI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MURO AENDELEA KUKABILIANA NA KERO ZA MAJI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MURO AENDELEA KUKABILIANA NA KERO ZA MAJI.
link : DC MURO AENDELEA KUKABILIANA NA KERO ZA MAJI.

soma pia


DC MURO AENDELEA KUKABILIANA NA KERO ZA MAJI.



Mkuu wa Wilaya ya Arumeru  Mhe Jerry Muro  ameendelea kutatua kero ya Maji katika kata ya Tarakwa Halmashauri ya  ARUSHA  iliyo  Wilaya ya Arumeru, Kwa kuweka Ubunifu wa kuunganisha wadau mbalimbali wa Maendeleo Wilayani Arumeru na kuwaomba kuungana nae katika kuleta Suluhu ya muda mfupi itakayosaidia kupatikana Kwa Maji wakati Serikali inaendelea na Mpango wa ujenzi wa Miundombinu itakayoleta Maji ya kudumu katika kata ya Tarakwa.

Dc Muro  amewaeleza wadau hao kuwa wananchi wanachotaka ni Maji yawe yanakuja Kwa mpango wa muda mfupi au mrefu wao haiwahusu cha Msingi ni kuhakikisha Maji yanapatikana Kwa Njia yoyote ili kusaidia kina Mama na wasichana pamoja na Vijana wanaozunguka umbali mrefu kutafuta Maji badala ya kuendelea na shughuli za kuwaletea Maendeleo

 Dc Muro  amefanikiwa kuwashawishi wadau na kumuunga mkono Kwa kutoa *Malori yenye maboza ya Maji  na kisha kuwayapeleka Kwa wananchi wenye uhitaji katika kata ya Tarakwa.

Nao baadhi ya Wananchi Waliokuwa na Uhitaji wa Haraka wa Maji  wamepongeza ubunifu wa  Mhe Dc Muro  na kuweza kuwashawishi wadau kupeleka Maji katika kata yao ambapo wamesema kitendo kilichofanywa na  Dc Muro  ni Cha Kizalendo na kinapaswa kupongezwa na kila mwananchi wa Arumeru pasipo kujali Itikadi ya vyama vya kisiasa, dini au ukabila ambalo wamemtaka  Dc Muro  aendelee kuchapa kazi Kwa kuweka Misingi ya kizalendo.

Imetolewa na Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Arumeru



Hivyo makala DC MURO AENDELEA KUKABILIANA NA KERO ZA MAJI.

yaani makala yote DC MURO AENDELEA KUKABILIANA NA KERO ZA MAJI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MURO AENDELEA KUKABILIANA NA KERO ZA MAJI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/dc-muro-aendelea-kukabiliana-na-kero-za_9.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DC MURO AENDELEA KUKABILIANA NA KERO ZA MAJI."

Post a Comment

Loading...