Loading...

DC MURO ASHIRIKI UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA LOSIKO PAMOJA NA WANANCHI KIJIJI CHA LOSIKITO

Loading...
DC MURO ASHIRIKI UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA LOSIKO PAMOJA NA WANANCHI KIJIJI CHA LOSIKITO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MURO ASHIRIKI UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA LOSIKO PAMOJA NA WANANCHI KIJIJI CHA LOSIKITO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MURO ASHIRIKI UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA LOSIKO PAMOJA NA WANANCHI KIJIJI CHA LOSIKITO
link : DC MURO ASHIRIKI UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA LOSIKO PAMOJA NA WANANCHI KIJIJI CHA LOSIKITO

soma pia


DC MURO ASHIRIKI UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA LOSIKO PAMOJA NA WANANCHI KIJIJI CHA LOSIKITO



Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe Jerry Muro jana ameungana na wananchi wa kijiji cha LOSIKITO kata ya Mwandeti Halmashauri ya Arusha katika ujenzi wa shule Mpya ya sekondari ya losiko ambayo inajengwa Kwa nguvu za wananchi.
 
Dc Muro ameamua kuungana na wananchi katika kuhakikisha shule hiyo inaanza kutumika Mwaka 2019 Kwa lengo la kupunguza uhaba wa shule na vyumba vya madarasa Kutokana na ongezeko Kubwa la wananchi waliofaulu Elimu ya Msingi ambao wanapaswa kuingia Kidato Cha kwanza Mwaka 2019.Dc Muro anaendelea na ziara yake katika kata ya mwandeti iliyo halmashauri ya Wilaya ya ARUSHA
2
Dc Muro akiungana na Wananchi kushiriki ujenzi kuhakikisha shule hiyo inaanza kutumika Mwaka 2019 Kwa lengo la kupunguza uhaba wa shule na vyumba vya madarasa Kutokana na ongezeko Kubwa la wananchi waliofaulu Elimu ya Msingi ambao wanapaswa kuingia Kidato Cha kwanza Mwaka 2019.
index
Dc Muro akishiriki ujenzi wa shule  mpya ya sekondari ya Losiko katika kijiji ch Losiko,wilayani Arumeru,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa ziara yake iliyoanza jana katika kata ya mwandeti,katika halmashauri ya Wilaya ya Arusha ambapo Mkuu huyo wa Wilaya anatarajiwa kutembelea Kata zote 53 za Wilaya ya Arumeru.
1
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry Muro akifafanua jambo mbele ya baadhi wa viongozi aliombatana nao alipokwenda kuungana na wananchi wa kijiji cha LOSIKITO kata ya Mwandeti Halmashauri ya Arusha katika ujenzi wa shule Mpya ya sekondari ya losiko ambayo inajengwa Kwa nguvu za wananchi.
3


Hivyo makala DC MURO ASHIRIKI UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA LOSIKO PAMOJA NA WANANCHI KIJIJI CHA LOSIKITO

yaani makala yote DC MURO ASHIRIKI UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA LOSIKO PAMOJA NA WANANCHI KIJIJI CHA LOSIKITO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MURO ASHIRIKI UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA LOSIKO PAMOJA NA WANANCHI KIJIJI CHA LOSIKITO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/dc-muro-ashiriki-ujenzi-wa-shule-mpya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MURO ASHIRIKI UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA LOSIKO PAMOJA NA WANANCHI KIJIJI CHA LOSIKITO"

Post a Comment

Loading...