Loading...

DKT.CHAULA:HAKIKISHENI VITUO VYA AFYA VYOTE NCHINI VINA HATI MILIKI

Loading...
DKT.CHAULA:HAKIKISHENI VITUO VYA AFYA VYOTE NCHINI VINA HATI MILIKI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT.CHAULA:HAKIKISHENI VITUO VYA AFYA VYOTE NCHINI VINA HATI MILIKI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT.CHAULA:HAKIKISHENI VITUO VYA AFYA VYOTE NCHINI VINA HATI MILIKI
link : DKT.CHAULA:HAKIKISHENI VITUO VYA AFYA VYOTE NCHINI VINA HATI MILIKI

soma pia


DKT.CHAULA:HAKIKISHENI VITUO VYA AFYA VYOTE NCHINI VINA HATI MILIKI


Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI KIGOMA

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Zainabu Chaula amewaagiza viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kuhakikisha vituo vyote vya afya vinapatiwa hati miliki.

Dkt. Chaula ameyasema hayo alipokuwa akikagua ukarabati na ujenzi wa kituo cha afya cha Mabamba kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo, Mkoani Kigoma katika ziara yake ya kikazi ya kukagua maendeleo ya ukarabati na ujenzi wa vituo vya afya nchini leo Mkoani Kigoma.

Amesema kuwa Serikali imetumia gharama kubwa katika ujenzi wa miundombinu ya afya nchini, hivyo Mamlaka za Serikali za Mitaa hazinabudi kuhakikisha zahanati na vituo vyote vya afya nchini vinakuwa na hati miliki.

“Viongozi wamekuwa wakitoa maagizo kuhusu uwepo wa hati miliki kwa majengo ya Serikali lakini bado baadhi ya watendaji wa Mamlaka husika hawatekelezi maagizo hayo, hivyo nawaagiza viongozi wote wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha kila Zahanati, Kituo cha afya kinakuwa na Hati Miliki.” Anasisitiza Dkt. Chaula.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Zainabu Chaula akikagua ukarabati na ujenzi wa chumba cha upasuaji katika kituo cha afya cha Mabamba kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma katika ziara yake ya kikazi ya kukagua maendeleo ya ukarabati na ujenzi wa vituo vya afya nchini leo Mkoani Kigoma.
Jengo la Wodi ya wazazi lililopo katika kituo cha afya cha Mabamba kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Zainabu Chaula akikagua ukarabati na ujenzi wa chumba cha upasuaji na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Bw. Rashid Mchatta (katikati) wakikagua chumba cha upasuaji katika kituo cha afya cha Mabamba kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma katika ziara yake ya kikazi ya kukagua maendeleo ya ukarabati na ujenzi wa vituo vya afya nchini leo Mkoani Kigoma.



Hivyo makala DKT.CHAULA:HAKIKISHENI VITUO VYA AFYA VYOTE NCHINI VINA HATI MILIKI

yaani makala yote DKT.CHAULA:HAKIKISHENI VITUO VYA AFYA VYOTE NCHINI VINA HATI MILIKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT.CHAULA:HAKIKISHENI VITUO VYA AFYA VYOTE NCHINI VINA HATI MILIKI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/dktchaulahakikisheni-vituo-vya-afya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT.CHAULA:HAKIKISHENI VITUO VYA AFYA VYOTE NCHINI VINA HATI MILIKI"

Post a Comment

Loading...