Loading...

WAANDISHI WASHINDA TUZO ZA HABARI ZA MAJI...MWAKYEMBE ATOA NENO

Loading...
WAANDISHI WASHINDA TUZO ZA HABARI ZA MAJI...MWAKYEMBE ATOA NENO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAANDISHI WASHINDA TUZO ZA HABARI ZA MAJI...MWAKYEMBE ATOA NENO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAANDISHI WASHINDA TUZO ZA HABARI ZA MAJI...MWAKYEMBE ATOA NENO
link : WAANDISHI WASHINDA TUZO ZA HABARI ZA MAJI...MWAKYEMBE ATOA NENO

soma pia


WAANDISHI WASHINDA TUZO ZA HABARI ZA MAJI...MWAKYEMBE ATOA NENO

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

WAZIRI wa Habari,Sanaa ,Utamaduni na Michezo Dk.Harson Mwakyembe amekabidhi tuzo za Habari za Maji kwa waandishi mahiri wa masuala ya uwajibikaji kuhusu usimamizi wa rasilimali za maji.

Tuzo hizo zimeandaliwa na Shirika la Shahidi wa Maji kupitia Programu ya Uhakika wa Maji kwa kushirikiana na Shirika la Water Witness International,WaterAid pamoja na Journalist Enviromental Association of Tanzania(JET).

Tuzo hizo ambazo zimekabidhiwa kwa waandishi hao zinajulikana kama Tuzo za Habari za Maji kwa waandishi hao mahiri wa masuala ya uwajibikaji kuhusu usimamizi wa rasilimali za maji.Waliokabidhiwa tuzo hizo ni Mwandishi Nuzulack Dausen (Kundi B) ambalo lilihusu Uandishi mahiri wa habari za maji kwa uhakika wa maji.

Mwandishi mwingine aliyepata tuzo ni Sylvester Domasa (Kundi B) ambalo lilihusu Mwandishi mahiri wa habari aliyetumia taarifa za mradi wa uhakika wa maji kuleta mabadiliko.Pia Mwandishi Amina Semagongwa (Kundi C) ambalo lilihusu Mwandishi mwenye umri mdogo

Akizungumza Waziri Mwakyembe amesema tuzo hizo zitaleta chachu kwa waandishi kuandika habari za maji.Kuhusu mjadala ambao ulizungumzia waandishi kutoandika habari za maji,amesema changamoto kubwa ni waandishi kutokuwa na ari ya kufanya tafiti na hiyo inatokana mazingira duni ya kufanya kazi waandishi na hivyo mkakati wa Wizara yake ni kuinua taaluma ya habari ikiwa pamoja na kuboresha maslahi ya waandishi.

"Ukame wa habari za maji katika vyombo vya habari kuna sababu nyingi ambazo zinachangia na kubwa ni ari ya kufanya kazi za tafiti kwenye vyombo vya habari." Hakuna ari ya kufanya tafiti kutokana na mazingira yaliyopo katika tasnia ya habari na ndio maana tumeandaa sheria ya huduma ya kupata habari ambayo itasaidia kuondoa changamoto,"amesema Dk.Mwakyembe.
 Waziri  wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dk.Harson Mwakyembe akizungumza na wadau mbalimbali wa maji katika hafla ya tuzo  za habari za maji zilizotolewa jana jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dk.Harson Mwakyembe (kushoto) akimkabidhi zawadi mshindi wa habari za maji,Nuzulack Dausen katika hafla iliyofanyika jana  jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Global ya jamii)
 Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo akizungumza katika hafla ya tuzo za maji jana jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya wadau mbalimbali wa maji wakiwa katika hafla ya tuzo za waandishi wa habari za maji jana  jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dk.Harson Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa na washindi wa tuzo hizo.



Hivyo makala WAANDISHI WASHINDA TUZO ZA HABARI ZA MAJI...MWAKYEMBE ATOA NENO

yaani makala yote WAANDISHI WASHINDA TUZO ZA HABARI ZA MAJI...MWAKYEMBE ATOA NENO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAANDISHI WASHINDA TUZO ZA HABARI ZA MAJI...MWAKYEMBE ATOA NENO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/waandishi-washinda-tuzo-za-habari-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAANDISHI WASHINDA TUZO ZA HABARI ZA MAJI...MWAKYEMBE ATOA NENO"

Post a Comment

Loading...