Loading...
title : HOSPITALI YA MACHO YATOA HUDUMA YA KUPIMA MACHO LEO
link : HOSPITALI YA MACHO YATOA HUDUMA YA KUPIMA MACHO LEO
HOSPITALI YA MACHO YATOA HUDUMA YA KUPIMA MACHO LEO
Daktari wa macho wa Hospitali ya Macho ya Kimataifa (The International Eye Hospital), Dk. Mahija Matola akimfanyia uchunguzi wa macho, Stanslaus Shanyeli wakati wa huduma ya upimaji wa macho bure ilisyoendeshwa kwa ushirikiano na Hospitali ya Heameda Medical Clinic ya Bunju B Dar es Salaam. Huduma hiyo ya bure ya siku mbili inatarajiwa kukamilika leo.
Daktari wa macho wa Hospitali ya Macho ya Kimataifa (The International Eye Hospital), Dk. Mahija Matola akimfanyia uchunguzi wa macho mkazi wa Bunju B, Regina Mwakasungula wakati wa huduma ya upimaji wa macho bure ilisyoendeshwa kwa ushirikiano na Hospitali ya Heameda Medical Clinic ya Bunju B Dar es Salaam. Huduma hiyo ya bure ya siku mbili inatarajiwa kukamilika leo.
Daktari wa macho wa Hospitali ya Macho ya Kimataifa (The International Eye Hospital), Dk. Mahija Matola akimfanyia uchunguzi wa macho mkazi wa Bunju B, Rehema Kasapale wakati wa huduma ya upimaji wa macho bure ilisyoendeshwa kwa ushirikiano na Hospitali ya Heameda Medical Clinic ya Bunju B Dar es Salaam. Huduma hiyo ya bure ya siku mbili inatarajiwa kukamilika leo.
Daktari wa macho wa Hospitali ya Macho ya Kimataifa (The International Eye Hospital), Dk. Mahija Matola akimfanyia uchunguzi wa macho mkazi wa Keko,Leornard Lawrence wakati wa huduma ya upimaji wa macho bure ilisyoendeshwa kwa ushirikiano na Hospitali ya Heameda Medical Clinic ya Bunju B Dar es Salaam. Huduma hiyo ya bure ya siku mbili inatarajiwa kukamilika leo.
(Na Mpiga Picha Wetu)
Hivyo makala HOSPITALI YA MACHO YATOA HUDUMA YA KUPIMA MACHO LEO
yaani makala yote HOSPITALI YA MACHO YATOA HUDUMA YA KUPIMA MACHO LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HOSPITALI YA MACHO YATOA HUDUMA YA KUPIMA MACHO LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/hospitali-ya-macho-yatoa-huduma-ya.html
0 Response to "HOSPITALI YA MACHO YATOA HUDUMA YA KUPIMA MACHO LEO"
Post a Comment