Loading...
title : SHIRIKA LA GREAT HOPE WATOA TUZO KWA WASHIRIKI WA UWEZO AWARD
link : SHIRIKA LA GREAT HOPE WATOA TUZO KWA WASHIRIKI WA UWEZO AWARD
SHIRIKA LA GREAT HOPE WATOA TUZO KWA WASHIRIKI WA UWEZO AWARD
SHIRIKA la Great Hope Foundation leo limetoa tuzo kwa washiriki wa mradi wa UWEZO AWARD katika sherehe zilizofanyika chuo kikuu cha Dar es Salaam leo katika shule za Sekondari za hapa nchini.
Mradi huu unaendeshwa kwa njia ya mashindano ambapo wanafunzi hushindana kutumia uwezo wao kufanya kazi mbalimbali za kijamii ambazo wao wanachagua kufanya.
UWEZO AWARD ina malengo makuu matano ambayo ni Kuwatengenezea wanafunzi jukwaa la kujitambua/kufahamu uwezo/vipaji walivyonavyo ( hata vile ambavyo havionekani zaidi darasani.
Kuwapa wanafunzi jukwaa la kujifunza uongozi Kuwapa wanafunzi jukwaa la kujifunza kuwajibika na kuwa mstari wa mbele kutatua changamoto zinazoikabili jamii inayowazunguka, Kutambua na kutoa tuzo kwa miradi bunifu iliyofanywa na wanafunzi katika UWEZO AWARD na Kukuza na kuwajengea wanafunzi ujuzi katika maeneo ambayo wanafunzi wameonesha UWEZO.
Washindi wa kwanza wa tuzo za UWEZO AWARD wakipokea tuzo yao kutoka kwa mgeni rasmi Maida waziri mara baada ya kuibuka kidedea kwa kufanya vizuri zaidi katika mradi huo ulioendeshwa na shirika la Great Hope foundation jijini Dar es Salaam leo. Washiriki hao ambao ni kutoka shule ya sekondari ya Zanaki wamejinyakulia Tofi ya Silva pamoja na safari ya kutembelea mbuga za wanyama hapa nchini.
Washindi wa pili wa tuzo za UWEZO AWARD wakipokea tuzo yao kutoka kwa mgeni rasmi Maida waziri mara baada ya kuibuka kidedea kwa kufanya vizuri zaidi katika mradi huo ulioendeshwa na shirika la Great Hope foundation jijini Dar es Salaam leo.
Washindi wa tatu wa tuzo za UWEZO AWARD wakipokea tuzo yao kutoka kwa mgeni rasmi Maida waziri mara baada ya kuibuka kidedea kwa kufanya vizuri zaidi katika mradi huo ulioendeshwa na shirika la Great Hope foundation jijini Dar es Salaam leo.
Washindi wa nne wa tuzo za UWEZO AWARD wakipokea tuzo yao kutoka kwa mgeni rasmi Maida waziri mara baada ya kuibuka kidedea kwa kufanya vizuri zaidi katika mradi huo ulioendeshwa na shirika la Great Hope foundation jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wanafunzi wakionyesha umahili wao katika michezo mbalimbali.
Picha na Avila Kakingo,Globu ya jamii.
Hivyo makala SHIRIKA LA GREAT HOPE WATOA TUZO KWA WASHIRIKI WA UWEZO AWARD
yaani makala yote SHIRIKA LA GREAT HOPE WATOA TUZO KWA WASHIRIKI WA UWEZO AWARD Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA GREAT HOPE WATOA TUZO KWA WASHIRIKI WA UWEZO AWARD mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/shirika-la-great-hope-watoa-tuzo-kwa.html
0 Response to "SHIRIKA LA GREAT HOPE WATOA TUZO KWA WASHIRIKI WA UWEZO AWARD"
Post a Comment