Loading...
title : IGP SIRRO AKUTANA NA KIKOSI MAALUM KINACHOPAMBANA NA UHALIFU WILAYANI BIHARAMULO
link : IGP SIRRO AKUTANA NA KIKOSI MAALUM KINACHOPAMBANA NA UHALIFU WILAYANI BIHARAMULO
IGP SIRRO AKUTANA NA KIKOSI MAALUM KINACHOPAMBANA NA UHALIFU WILAYANI BIHARAMULO
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akizungumza na askari wa kikosi maalum cha kupambana na matukio ya uhalifu na wahalifu katika eneo la Midaho wilayani Biharamulo mkoani Kagera leo 29/10/2018 wakati akiwa safarini kuelekea wilaya ya Ngara mkoani humo kwa ziara ya kikazi. Picha na Jeshi la Polisi.
Askari wa kikosi maalum kinachopambana na matukio ya uhalifu na wahalifu kama wanavyoonekana Pichani wakitekeleza majukumu yao katika eneo la Midaho wilayani Biharamulo mkoani Kagera leo 29/10/2018. Picha na Jeshi la Polisi.
Hivyo makala IGP SIRRO AKUTANA NA KIKOSI MAALUM KINACHOPAMBANA NA UHALIFU WILAYANI BIHARAMULO
yaani makala yote IGP SIRRO AKUTANA NA KIKOSI MAALUM KINACHOPAMBANA NA UHALIFU WILAYANI BIHARAMULO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AKUTANA NA KIKOSI MAALUM KINACHOPAMBANA NA UHALIFU WILAYANI BIHARAMULO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/igp-sirro-akutana-na-kikosi-maalum.html
0 Response to "IGP SIRRO AKUTANA NA KIKOSI MAALUM KINACHOPAMBANA NA UHALIFU WILAYANI BIHARAMULO"
Post a Comment