Loading...

KAMATI YA UKIMWI YAKUTANA NA MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI MADAWA YA KULEVYA NCHINI

Loading...
KAMATI YA UKIMWI YAKUTANA NA MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI MADAWA YA KULEVYA NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMATI YA UKIMWI YAKUTANA NA MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI MADAWA YA KULEVYA NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMATI YA UKIMWI YAKUTANA NA MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI MADAWA YA KULEVYA NCHINI
link : KAMATI YA UKIMWI YAKUTANA NA MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI MADAWA YA KULEVYA NCHINI

soma pia


KAMATI YA UKIMWI YAKUTANA NA MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI MADAWA YA KULEVYA NCHINI

 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Oscar Mukasa akielezea jambo alipokuwa akiongoza Kikao cha Kamati hiyo kilichokutana leo Jijini Dodoma kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya kupambana na Dawa za Kulevya Na. 5 ya mwaka 2015 iliyowasilishwa na Watendaji kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya hapa nchini wakiongozwa na Kamishna Jenerali Rogers Siyanga.
 Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Godfrey Mgimwa akichangia jambo katika Kikao cha Kamati hiyo kilichokutana hii leo Jijini Dodoma kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya kupambana na Dawa za Kulevya Na. 5 ya mwaka 2015.
 Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi wakifuatilia jambo kwenye Taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya kupambana na Dawa za Kulevya Na. 5 ya mwaka 2015 iliyowasilishwa na Watendaji kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya hapa nchini wakiongozwa na Kamishna Jenerali Rogers Siyanga.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Flatei Massay akichangia jambo katika Kikao cha Kamati hiyo kilichokutana hii leo Jijini Dodoma kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya kupambana na Dawa za Kulevya Na. 5 ya mwaka 2015. 
(Picha na Ofisi ya Bunge)


Hivyo makala KAMATI YA UKIMWI YAKUTANA NA MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI MADAWA YA KULEVYA NCHINI

yaani makala yote KAMATI YA UKIMWI YAKUTANA NA MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI MADAWA YA KULEVYA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA UKIMWI YAKUTANA NA MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI MADAWA YA KULEVYA NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/kamati-ya-ukimwi-yakutana-na-mamlaka-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMATI YA UKIMWI YAKUTANA NA MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI MADAWA YA KULEVYA NCHINI"

Post a Comment

Loading...