Loading...

Mchakato Uanzishwaji Chaneli ya Runinga ya Utalii Washika Kasi

Loading...
Mchakato Uanzishwaji Chaneli ya Runinga ya Utalii Washika Kasi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mchakato Uanzishwaji Chaneli ya Runinga ya Utalii Washika Kasi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mchakato Uanzishwaji Chaneli ya Runinga ya Utalii Washika Kasi
link : Mchakato Uanzishwaji Chaneli ya Runinga ya Utalii Washika Kasi

soma pia


Mchakato Uanzishwaji Chaneli ya Runinga ya Utalii Washika Kasi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Susan Mlawi akisisitiza jambo wakati wa kikao cha kamati inayoshughulikia uanzishwaji wa Chaneli ya Runinga ya Utalii leo jijini Dodoma. Chaneli hiyo inaanzishwa kufuatia agizo la Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipotembelea studio za Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) mnamo tarehe 16, Mei, 2017. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Profesa Adolf Mkenda. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Profesa Adolf Mkenda akisisitiza jambo wakati wa kikao cha kamati inayoshughulikia uanzishwaji wa Chaneli ya Runinga ya Utalii leo jijini Dodoma. Chaneli hiyo inaanzishwa kufuatia agizo la Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipotembelea studio za Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) mnamo tarehe 16, Mei, 2017. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Susan Mlawi. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce Nzuki akielezea jambo wakati wa kikao cha kamati inayoshughulikia uanzishwaji wa Chaneli ya Runinga ya Utalii leo jijini Dodoma. Chaneli hiyo inaanzishwa kufuatia agizo la Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipotembelea studio za Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) mnamo tarehe 16, Mei, 2017. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi. Susan Mlawi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Profesa Adolf Mkenda. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayoub Ryoba akielezea hatua zilizofikiwa za uanzishwaji wa Chaneli ya Runinga ya Utalii wakati wa kikao cha kamati inayoshughulikia uanzishwaji wa chaneli hiyo leo jijini Dodoma. Chaneli hiyo inaanzishwa kufuatia agizo la Rais, Dkt. John Pombe Magufuli alipotembelea studio za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) mnamo tarehe 16, Mei, 2017. Kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Bibi. Joyce Fissoo na Mwenyekiti wa Kamati ya Uanzishwaji wa Chaneli hiyo, Gabriel Nderumaki. Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Bibi. Joyce Fissoo akielezea jambo wakati wa kikao cha kamati inayoshughulikia uanzishwaji wa Chaneli ya Runinga ya Utalii leo jijini Dodoma. Chaneli hiyo inaanzishwa kufuatia agizo la Rais, Dkt. John Pombe Magufuli alipotembelea studio za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) mnamo tarehe 16, Mei, 2017. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Susan Mlawi, Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt. Ayoub Ryoba, Mwenyekiti wa Kamati ya hiyo, Gabriel Nderumaki. 
(Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO)


Hivyo makala Mchakato Uanzishwaji Chaneli ya Runinga ya Utalii Washika Kasi

yaani makala yote Mchakato Uanzishwaji Chaneli ya Runinga ya Utalii Washika Kasi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mchakato Uanzishwaji Chaneli ya Runinga ya Utalii Washika Kasi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/mchakato-uanzishwaji-chaneli-ya-runinga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mchakato Uanzishwaji Chaneli ya Runinga ya Utalii Washika Kasi"

Post a Comment

Loading...