Loading...

KIKWETE AWAPONGEZA BENK YA NMB.

Loading...
KIKWETE AWAPONGEZA BENK YA NMB. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIKWETE AWAPONGEZA BENK YA NMB., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIKWETE AWAPONGEZA BENK YA NMB.
link : KIKWETE AWAPONGEZA BENK YA NMB.

soma pia


KIKWETE AWAPONGEZA BENK YA NMB.


Na Shushu Joel,Chalinze.

MBUNGE wa jimbo la chalinze wilaya ya Bagamoyo mkoani pwani Ridhiwani Kikwete ameipongeza Benk ya Nmb kwa juhudi zao za kutoa misaada kwa jamii ili kutatua changamoto mbalimbali zinazokuwa zikiwakabili wanajamii.

Akitoa pongezi hizo jana, katika kata ya kiwangwa alipokuwa akipokea vifaa mbalimbali vya hospital vilivyotolewa na benk hiyo,Ridhiwani alisema kuwa awali hospital hiyo ilikuwa na changamoto ya vitanda kwa ajili ya kinamama kuweza kujifungulia lakini kutokana na msaada huo tatizo hilo limebaki kuwa ni historia .

“Naipongeza benk ya Nmb kwa kutambua thamni ya kinamama wa chalinze ingawa katika nchi yetu kuna changamoto nyingi sehemu zingine lakini nyie mmeamua kutuletea misaada huu katika halmashauli yetu ya chalinze”Alisema Ridhiwani

“Mimi nawatia moyo tu kwa niaba ya wananchi wa chalinze msichoke kutusaidia kwani mahitaji yetu bado ni mengi ingawa nasi kama serikali tunapambana ili kuihakikisha kinamama wanajifungua bila matatizo ya aina yeyote hile ndio maana hata vifo vya kinamama chalinze wakiwa wanajifungua vinazidi kubaki kuwa historia”

Aliongeza kuwa awali walikuwa wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa viwanda kwa ajili ya kinamama kujifungulia katika hospital hiyo lakini Nmb imewapatia vitanda 10 kwa ajili ya kupunguza tatizo hilo hivyo amewataka wananchi wa kata hiyokwa kushirikiana na watumishi wa hospital hiyo kuhakikisha wanavilinda vifaa hivyo ili viweze kuwasaidia kwa kipindi kirefu.
 Mbunge wa jimbo la chalinze Ridhiwani Kikwete  akipokea vifaa vya wagonjwa kwa ajili ya hospital ya kiwangwa vilivyotolewa na benk ya Nmb
 Mbunge wa jimbo la chalinze Ridhiwani Kikwete  akipokea vifaa vya wagonjwa kwa ajili ya hospital ya kiwangwa vilivyotolewa na benk ya NMB.




Hivyo makala KIKWETE AWAPONGEZA BENK YA NMB.

yaani makala yote KIKWETE AWAPONGEZA BENK YA NMB. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIKWETE AWAPONGEZA BENK YA NMB. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/kikwete-awapongeza-benk-ya-nmb.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KIKWETE AWAPONGEZA BENK YA NMB."

Post a Comment

Loading...