Loading...

KISANGA AWATAKA WAKAZI WA OYSTERBAY KUWA WALINZI KWENYE MAENEO YAO

Loading...
KISANGA AWATAKA WAKAZI WA OYSTERBAY KUWA WALINZI KWENYE MAENEO YAO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KISANGA AWATAKA WAKAZI WA OYSTERBAY KUWA WALINZI KWENYE MAENEO YAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KISANGA AWATAKA WAKAZI WA OYSTERBAY KUWA WALINZI KWENYE MAENEO YAO
link : KISANGA AWATAKA WAKAZI WA OYSTERBAY KUWA WALINZI KWENYE MAENEO YAO

soma pia


KISANGA AWATAKA WAKAZI WA OYSTERBAY KUWA WALINZI KWENYE MAENEO YAO

 Na Khadija Seif,Globu  ya jamii
  MWENYEKITI Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) katika Tawi la Oysterbay Dar es Salaam  Donald Kisanga ameendesha uchaguzi wa chipukizi huku akiwaomba wazazi kuruhusu watoto kushirikia kikamilifua.

Amesema chipukizi wanafundishwa mambo mbalimbali yenye maslahi kwa nchi yao yakiwamo ya  uzalendo,uadilifu,kuwa imara na ukakamavu katika kulijenga ,kulitetea na kupigania  kwa maslahi ya Taifa la  Tanzania.

Kisanga amesema hayo leo jijini Dar es Salaam ambapo pia amepongeza juhudi na mikakati inayofanywa na Serikali chini ya Rais Dk.John Magufuli katika kuwatumikia Watanzania.

Pia Kisanga ametumia nafasi hiyo kutoa rai kwa wananchi kutunza na kulinda mazingira na kutoa taarifa pindi wanapoona wahalifu wanaingia kwenye makazi kwani vitendo hivyo lazima vikomeshwe ili kuwepo na amani 

Kisanga pia amezungumzia jitihada zinazofanywa na Serikali ya CCM katika kutoa mikopo ambapo  imeweza kutoa mikopo kwa wananchi ambao wanatakiwa kuunda kikundi cha watu wa tano na kuwasilisha barua zenye maelezo kwa mjumbe wa nyumba 10.

Amezungumzia pia namna ambavyo vijana wengi wamekua wakijuhusisha na uhalifu katika fukwe za Coco Beach ambapo watu wengi hufanyiwa vitendo vibaya na wengine kusababisha kupoteza maisha .

Kisanga ameeleza namna ambavyo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  alivyotembelea eneo hilo la fukwe hizo wakati wa Siku ya Maadhimisho ya Mashujaa nchini.

Ambapo alishirikiana na wananchi kufanya usafi na kutoa tamko kwa Serikali kuboresha mazingira hayo ili kuwa kivutio kizuri zaidi kwa watu ambao wanafika maeneo hayo kwa ajili ya kudarizi.


Hivyo makala KISANGA AWATAKA WAKAZI WA OYSTERBAY KUWA WALINZI KWENYE MAENEO YAO

yaani makala yote KISANGA AWATAKA WAKAZI WA OYSTERBAY KUWA WALINZI KWENYE MAENEO YAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KISANGA AWATAKA WAKAZI WA OYSTERBAY KUWA WALINZI KWENYE MAENEO YAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/kisanga-awataka-wakazi-wa-oysterbay.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KISANGA AWATAKA WAKAZI WA OYSTERBAY KUWA WALINZI KWENYE MAENEO YAO"

Post a Comment

Loading...