Loading...
title : MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA YAWAKUTANISHA MADAKTARI BINGWA (PHYSICIAN) WATAJA SABU YA ONGEZEKO LA MAGOJWAHAYO.
link : MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA YAWAKUTANISHA MADAKTARI BINGWA (PHYSICIAN) WATAJA SABU YA ONGEZEKO LA MAGOJWAHAYO.
MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA YAWAKUTANISHA MADAKTARI BINGWA (PHYSICIAN) WATAJA SABU YA ONGEZEKO LA MAGOJWAHAYO.
Na.John Luhende
Mwamba wa habari
Watanzania wameshauriwa kuwa nautaratibu wa kufanya mazoezi na shughuli mabalimbali za kushughulisha mwili , kuzingatia na kujiepusha na vyakula na vinywaji vinavyo chochea magonjwa yasiyo ya kuambukiza.
Ushauri huo umetolewa jijini Dar es salaam na Kaimu mkurugenzi huduma za kinga kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii jinsia Wazee na Watoto Dakta Leonard Subi , wakati akifungua mkutano wa madaktari bingwa (physician Tanzania ) APHYTA, na kueleza kuwa kumekuwa na ongezeka la wagonjwa wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza kitu ambacho kimechangiwa na mfumo wa maisha .
‘’Hivi sasa magojwa yasiyo ya kuambukiza inazidi kuongezeka na kuathri watu wengi Duniani nahapa kwetu Tanzania imefikia 142,000 wanapoteza maisha kila mwaka kutokana na magonjwa hayo ikiwemo ajali, kwahiyo mkutano huu ni muhimu sana kwa wataalamu wetu wanapojadiliana kuhusu magonjwa hayo’’ amesema.
Aidha amevitaka vyama vyote vya Madaktari( Association) pamoja na zingine zianshughulika na magonjwa yasiyo ya kuambukiza kuhakikisha zina wafikia watu wengi hasa vijijini na katika ngazi za vituo vya Afya , hospitali za wilaya na MIkoa ili waweze kupata huduma muhimu za magonjwa ya kuambukiza.
Kwa upande waake Rais wa Chama cha Madaktari bingwa (Physician Tanzania) Dakta Meshack Shimwela ameipongeza serikali kwa sera nzuri za afya na kitaka kuimarisha miundo mbinuya afya pamoja na kuongeza utoaji elimu kwa wananchi kuhusu magonjwa yasi ya kuambukiza .
‘’Ukiangalia sera za nchi kuhusu Afya ziko vizuri na tumeona mabadiliko maengi na bajeti ya wizara imeongezeka lakini changamoto iko katika utekelezaji kwenye afya ya msingi hapa ndipo tunahitaji nguvu tuna punguzaje wato wetu wana hitaji kupata muda wa kucheza watu wapate muda wa kutembea tuanapojenga barabarazetu ziwe na sehemu ya waenda kwa miguu ziwe nyingi na zipewe kipaumbele’’ amesema
Naye dakta Kaushik Ramayan, ambaye ni mmoja wa waanzilishi wa chama hicho ametaja sabau mojawapo ambazo zimechangia ongezeko la magonjwa hayo kuwa nipamoja na mtindo wa maisha wa kimagharibi ambao kwa sasa umeshika kasi katika maduka makubwa hapa jijini ,na kuwataka watanzania kutumia vyakula vya asili ili kujiepusha ma magonjwa hayo.
Hatahivyo Dakta Emmanueli Kisali Ndosi ,ameeleza mkuwa mtindo wa maisha wanao ishi vijana unakuta hatavipindi vya kuelemisha katika Televisheni hawatazami wanaanga biashara zaidi hawana elimu kuhusu vyakula vya mafuta matokeo yake wanapata magojwa hayo na serikali inatumiagharama kubwa sana , wazazi wnatakiwa kuelimisha wato wao kuhusu ukaji .
Chamacha Madaktari Bingwa (Physician) kilianzishwa nwaka 2008 na kilikuwa na wanachama wachache ambapo kilianza na madaktari 30 na kwa sasa kinawanachama wengi zaidi, na lengo kilianzishwa kwa lengo la kuwa na ushirikiano katika mawazo baina ya Madaktari bingwa ,kuwa na mtandao wa kusaidiana,na kuongeza ujuzi Professional development.
Hivyo makala MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA YAWAKUTANISHA MADAKTARI BINGWA (PHYSICIAN) WATAJA SABU YA ONGEZEKO LA MAGOJWAHAYO.
yaani makala yote MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA YAWAKUTANISHA MADAKTARI BINGWA (PHYSICIAN) WATAJA SABU YA ONGEZEKO LA MAGOJWAHAYO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA YAWAKUTANISHA MADAKTARI BINGWA (PHYSICIAN) WATAJA SABU YA ONGEZEKO LA MAGOJWAHAYO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/magonjwa-yasiyo-ya-kuambukiza.html
0 Response to "MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA YAWAKUTANISHA MADAKTARI BINGWA (PHYSICIAN) WATAJA SABU YA ONGEZEKO LA MAGOJWAHAYO."
Post a Comment