Loading...

MAMA MARIA NYERERE:MAGEUZI YANAYOFANYWA NA RAIS MAGUFULI NI YA KUUNGWA MKONO

Loading...
MAMA MARIA NYERERE:MAGEUZI YANAYOFANYWA NA RAIS MAGUFULI NI YA KUUNGWA MKONO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAMA MARIA NYERERE:MAGEUZI YANAYOFANYWA NA RAIS MAGUFULI NI YA KUUNGWA MKONO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAMA MARIA NYERERE:MAGEUZI YANAYOFANYWA NA RAIS MAGUFULI NI YA KUUNGWA MKONO
link : MAMA MARIA NYERERE:MAGEUZI YANAYOFANYWA NA RAIS MAGUFULI NI YA KUUNGWA MKONO

soma pia


MAMA MARIA NYERERE:MAGEUZI YANAYOFANYWA NA RAIS MAGUFULI NI YA KUUNGWA MKONO

Maneno haya yamesemwa na Mama Maria Nyerere, Mke wa Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere mwasisi wa Taifa letu alipotembelewa na Viongozi wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) TAIFA jana Oktoba 08/2018. 
Viongozi hao kutoka Makao Makuu ya UVCCM ni Wakuu wa Idara Ndugu Hassan Bomboko (Uhamasishaji na Chipukizi), Peter Kasera (Organaizesheni, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa), Khamana Juma Simba (Vyuo na Vyuo Vikuu)
Mama Maria Nyerere ameipongeza kazi kubwa inayofanywa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli na amewaomba Viongozi wote nchini, Vijana na wananchi kumuunga mkono na kufanya juhudi kwenye maeneo yao ili kusaidia kuijenga Tanzania Mpya.


Hivyo makala MAMA MARIA NYERERE:MAGEUZI YANAYOFANYWA NA RAIS MAGUFULI NI YA KUUNGWA MKONO

yaani makala yote MAMA MARIA NYERERE:MAGEUZI YANAYOFANYWA NA RAIS MAGUFULI NI YA KUUNGWA MKONO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAMA MARIA NYERERE:MAGEUZI YANAYOFANYWA NA RAIS MAGUFULI NI YA KUUNGWA MKONO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/mama-maria-nyereremageuzi-yanayofanywa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAMA MARIA NYERERE:MAGEUZI YANAYOFANYWA NA RAIS MAGUFULI NI YA KUUNGWA MKONO"

Post a Comment

Loading...