Loading...

AJALI YA KENTA YAUA MCHEZAJI WA TIMU YA IYUMBU FC NA KUJERUHI 38 WAKIENDA KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI NA TIMU YA MGUNGIRA

Loading...
AJALI YA KENTA YAUA MCHEZAJI WA TIMU YA IYUMBU FC NA KUJERUHI 38 WAKIENDA KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI NA TIMU YA MGUNGIRA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AJALI YA KENTA YAUA MCHEZAJI WA TIMU YA IYUMBU FC NA KUJERUHI 38 WAKIENDA KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI NA TIMU YA MGUNGIRA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AJALI YA KENTA YAUA MCHEZAJI WA TIMU YA IYUMBU FC NA KUJERUHI 38 WAKIENDA KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI NA TIMU YA MGUNGIRA
link : AJALI YA KENTA YAUA MCHEZAJI WA TIMU YA IYUMBU FC NA KUJERUHI 38 WAKIENDA KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI NA TIMU YA MGUNGIRA

soma pia


AJALI YA KENTA YAUA MCHEZAJI WA TIMU YA IYUMBU FC NA KUJERUHI 38 WAKIENDA KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI NA TIMU YA MGUNGIRA

Na Jumbe Ismailly SINGIDA 

MCHEZAJI mmoja wa timu ya soka ya Kijiji cha Iyumbu,tarafa ya Sepuka,wilayani Ikungi,Mkoani Singida,Mussa Kikumbu (20) amepoteza maisha na wengine 38 wamejeruhiwa vibaya baada ya gari aina ya kenta walilokuwa wakisafiria kwenda kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Kata ta Mgungira kuacha njia na kupinduka.

Wakiongea kwa nyakati tofauti baadhi ya wachezaji na washabiki waliolazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida walisema ajali hiyo ilitokea Okt,07,mwaka huu saa tisa za alasiri wakati wakielekea kwenye mchezo wao wa kirafiki na timu ya kata ya Mgungira.

Mmoja wa majeruhi hao Emanueli Peter alisema waliondoka wakiwa watu 38 kwenye gari hilo na walipoanza safari askari mmoja wa kituo cha polisi Iyumbu alisema yeye hatapanda gari bali angekwenda na usafiri wake wa pikipiki.

Alifafanua majeruhi huyo alaiyelazwa katika wodi namba tatu katika Hospitali hiyo kwamba askari huyo alikuwa nyuma ya garai walilopanda akiendesha huku akionesha kila dalili za kuwa amekunywa kilevi huku dereva naye akiendesha mwendo kasi huku naye akiwa amelwa.
Kwa mujibu wa Peter inasemekana awali askari huyo alikuwa akitaka kumpita dereva wa gari ili aweze kutangulia lakini ilishindikana lakini baada ya muda alianza tena kuomba nafasi ili atangulie na alipopishwa ndipo ghafla alianguka chini.

Aidha majeruhi huyo aliweka bayana pia kwamba baada ya askari huyo kuanguka chini ndipo dereva wa gari walilopanda aliamua kumkwepaa ili asimkanyage na ndipo alipoingia kwenye korongo lililokuwa nje ya barabara na gari hilo kuanguka na kusababisha kifo cha mtu mmoja kati ya watu 39 waliokuwepo kwenye gari hilo.
FATUMA JISHIMU(19) aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida pamoja na mwanaye MAARIAMU RAMADHANI(2) kufuatia ajali ya gari aina ya kenta iliyokuwa imewabeba wachezaji na washabiki Iyumbu FC waliokuwa wakienda kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya kata ya Mgungira FC.
PICHA Na.879 Ni MAGRETH SAWA (40) aliyelazwa katika wodi namba tatu hospitali ya Mkoa wa Singida akipatiwa matibabu kufuatia ajali ya gari aina ya kenta kucha njia na kupinduka katika Kijiji cha Iyumbu.(Picha zote Na Jumbe Ismailly).



Hivyo makala AJALI YA KENTA YAUA MCHEZAJI WA TIMU YA IYUMBU FC NA KUJERUHI 38 WAKIENDA KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI NA TIMU YA MGUNGIRA

yaani makala yote AJALI YA KENTA YAUA MCHEZAJI WA TIMU YA IYUMBU FC NA KUJERUHI 38 WAKIENDA KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI NA TIMU YA MGUNGIRA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AJALI YA KENTA YAUA MCHEZAJI WA TIMU YA IYUMBU FC NA KUJERUHI 38 WAKIENDA KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI NA TIMU YA MGUNGIRA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/ajali-ya-kenta-yaua-mchezaji-wa-timu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "AJALI YA KENTA YAUA MCHEZAJI WA TIMU YA IYUMBU FC NA KUJERUHI 38 WAKIENDA KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI NA TIMU YA MGUNGIRA"

Post a Comment

Loading...