Loading...

MHASIBU WA MAPORI AREJESHWE KWENYE NAFASI YAKE-MAJALIWA

Loading...
MHASIBU WA MAPORI AREJESHWE KWENYE NAFASI YAKE-MAJALIWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MHASIBU WA MAPORI AREJESHWE KWENYE NAFASI YAKE-MAJALIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MHASIBU WA MAPORI AREJESHWE KWENYE NAFASI YAKE-MAJALIWA
link : MHASIBU WA MAPORI AREJESHWE KWENYE NAFASI YAKE-MAJALIWA

soma pia


MHASIBU WA MAPORI AREJESHWE KWENYE NAFASI YAKE-MAJALIWA


Na.Khadija Mussa OWM.                                                                                                          
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Meneja wa Mapori ya akiba ya Buligi, Biharamulo na Kimisi Bw. Bigilamungu Kagoma amrudishe Mhasibu wa mapori hayo Bw. Adam Kajembe katika nafasi yake.

Ametoa agizo hilo baada ya Meneja wa Mapori hayo Bw. Kagoma kumuondoa mhasibu huyo  na kumteua Bibi Ruth Philemon ambaye ni Mhifadhi wa Wanyamapori kuwa mhasibu wa mapori hayo.

Ameyasema hayo leo (Jumatatu, Oktoba 8, 2018) wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Biharamulo kwenye ukumbi wa JWTZ na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa CCM Biharamulo.

Waziri Mkuu amesema Meneja wa Mapori hayo hana mamlaka ya kuteua watumishi wa mapori hayo hivyo amemuagiza amuondoe haraka Bibi Ruth katika nafasi aliyompa na kumrudisha Bw. Adam kwenye nafasi yake.

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amepiga marufuku wananchi kuingiza mifugo katika mapori ya akiba ya Biharamulo, Buligi na Kimisi.

Amesema mapori hayo kwa sasa yapo katika hatua za mwisho kutangazwa kuwa mbuga za wanyama, hivyo kuifanya wilaya hiyo kuwa miongoni mwa wilaya za kitalii nchini.

Waziri Mkuu amemuagiza Meneja anayesimamia mapori hayo, Bw. Kagoma ahakikishe mapori hayo yanalindwa na hakuna mifugo inayoingizwa.

(mwisho)

IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
JUMATATU, OKTOBA 8, 2018.


Hivyo makala MHASIBU WA MAPORI AREJESHWE KWENYE NAFASI YAKE-MAJALIWA

yaani makala yote MHASIBU WA MAPORI AREJESHWE KWENYE NAFASI YAKE-MAJALIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MHASIBU WA MAPORI AREJESHWE KWENYE NAFASI YAKE-MAJALIWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/mhasibu-wa-mapori-arejeshwe-kwenye_9.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MHASIBU WA MAPORI AREJESHWE KWENYE NAFASI YAKE-MAJALIWA"

Post a Comment

Loading...