Loading...

Rais Magufuli Kaagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, OCD, Mkuu wa Upelelezi, Mkuu wa Kituo Kyerwa Wasimamishwe Kazi ,nikufuatia kashifa ya magendo ya Kahawa.

Loading...
Rais Magufuli Kaagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, OCD, Mkuu wa Upelelezi, Mkuu wa Kituo Kyerwa Wasimamishwe Kazi ,nikufuatia kashifa ya magendo ya Kahawa. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Magufuli Kaagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, OCD, Mkuu wa Upelelezi, Mkuu wa Kituo Kyerwa Wasimamishwe Kazi ,nikufuatia kashifa ya magendo ya Kahawa., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Magufuli Kaagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, OCD, Mkuu wa Upelelezi, Mkuu wa Kituo Kyerwa Wasimamishwe Kazi ,nikufuatia kashifa ya magendo ya Kahawa.
link : Rais Magufuli Kaagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, OCD, Mkuu wa Upelelezi, Mkuu wa Kituo Kyerwa Wasimamishwe Kazi ,nikufuatia kashifa ya magendo ya Kahawa.

soma pia


Rais Magufuli Kaagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, OCD, Mkuu wa Upelelezi, Mkuu wa Kituo Kyerwa Wasimamishwe Kazi ,nikufuatia kashifa ya magendo ya Kahawa.

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera Augustine Ollomi, Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Kyerwa Justine Joseph, Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Kyerwa Everist Kivuyo na Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Kyerwa Robert Marwa.


Viongozi hao wa Polisi wanasimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za kuhusika katika magendo ya zao la kahawa katika Wilaya ya Kyerwa pamoja na tuhuma nyingine.

Aidha,Rais Magufuli amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mej. Jen Jacob Kingu na Inspekta Generali wa Polisi Simon Sirro kuhakikisha uchunguzi wa kina unafanyika na hatua stahiki zinachukuliwa endapo watabainika kuhusika katika magendo ya kahawa na makosa mengine kwa mujibu wa sheria.

Tuhuma dhidi ya viongozi wa polisi katika Wilaya ya Kyerwa zimebainika  wakati wa ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa.


Hivyo makala Rais Magufuli Kaagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, OCD, Mkuu wa Upelelezi, Mkuu wa Kituo Kyerwa Wasimamishwe Kazi ,nikufuatia kashifa ya magendo ya Kahawa.

yaani makala yote Rais Magufuli Kaagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, OCD, Mkuu wa Upelelezi, Mkuu wa Kituo Kyerwa Wasimamishwe Kazi ,nikufuatia kashifa ya magendo ya Kahawa. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli Kaagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, OCD, Mkuu wa Upelelezi, Mkuu wa Kituo Kyerwa Wasimamishwe Kazi ,nikufuatia kashifa ya magendo ya Kahawa. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/rais-magufuli-kaagiza-kamanda-wa-polisi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Rais Magufuli Kaagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, OCD, Mkuu wa Upelelezi, Mkuu wa Kituo Kyerwa Wasimamishwe Kazi ,nikufuatia kashifa ya magendo ya Kahawa."

Post a Comment

Loading...