Loading...
title : MKUCHIKA AMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DKT. GARIB BILAL
link : MKUCHIKA AMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DKT. GARIB BILAL
MKUCHIKA AMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DKT. GARIB BILAL
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Garib Bilal alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam kumjulia hali.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akifafanua jambo kwa Makamu wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Garib Bilal alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam kumjulia hali..
Makamu wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Garib Bilal akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam kumjulia hali.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) (kulia) akiagana na Makamu wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohammed Garib Bilal alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam kumjulia hali.
Hivyo makala MKUCHIKA AMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DKT. GARIB BILAL
yaani makala yote MKUCHIKA AMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DKT. GARIB BILAL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUCHIKA AMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DKT. GARIB BILAL mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/mkuchika-amtembelea-makamu-wa-rais.html
0 Response to "MKUCHIKA AMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DKT. GARIB BILAL"
Post a Comment