Loading...

MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA

Loading...
MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA
link : MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA

soma pia


MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA


Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo akimsikiliza maelezo kutoka kwa Wafanyakazi wa kampuni iliyojenga reli ya mwendokasi ya Yapi Markez jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa reli hiyo.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo  pamoja na baadhi ya wanajeshi wakiangalia jinsi mataaluma yanavyotengenezwa katika kituo cha Soga.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo  akizungumza na waandishi wa habari  katika kituo cha soga mara baada ya kutembelea na kukagua jinsi mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa standard george.
Baadhi ya mataaluma kushoto yakiwa tayari kwa kutandikwa reli ya kisasa ya standard gaurge.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania(TRC) Masanja Kadogosa  akitoa maelezo kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance  Mabeyo wakati alipoembelea ujenzi wa reli ya kisasa ya standarge gaurge.
Sehemu ya reli ambayo imekamilika.


Hivyo makala MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA

yaani makala yote MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/mkuu-wa-majeshi-atembelea-mradi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA"

Post a Comment

Loading...