Loading...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda Aelezea Tukio la Kutekwa Kwa MO DEWJI

Loading...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda Aelezea Tukio la Kutekwa Kwa MO DEWJI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda Aelezea Tukio la Kutekwa Kwa MO DEWJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda Aelezea Tukio la Kutekwa Kwa MO DEWJI
link : Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda Aelezea Tukio la Kutekwa Kwa MO DEWJI

soma pia


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda Aelezea Tukio la Kutekwa Kwa MO DEWJI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amezungumza akiwa eneo la tukio ambalo leo October 11, 2018 Mfanyabiashara maarufu nchini MO Dewji ametekwa akiwa anaingia Gym alfajiri.

Amesema tayari upekuzi umeshaanza katika maeneo yote muhimu hasa kwenye hoteli, nyumba za wageni, mipakani na kwenye viwanja vya ndege kuhakikisha jeshi linanasa mtandao wa watuhumiwa waliohusika na utekaji huo

RC Makonda amefafanua kuwa miongoni mwa watekaji nyara, wapo wazungu wawili, hali inayoonyesha kuwa tukio hili limefanywa na wenyeji kwa kushirikisha na raia hao wa kigeni.

Amesema baadhi ya walinzi na wahudumu wa Gym ya Colosseum wamekamatwa ili kulisaidia jeshi la polisi maana wao ndo wanajua ni gari gani ilifika pale, ilikuwa na watu gani na walikaa muda gani


Hivyo makala Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda Aelezea Tukio la Kutekwa Kwa MO DEWJI

yaani makala yote Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda Aelezea Tukio la Kutekwa Kwa MO DEWJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda Aelezea Tukio la Kutekwa Kwa MO DEWJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/mkuu-wa-mkoa-wa-dar-es-salaam-mhe-paul.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda Aelezea Tukio la Kutekwa Kwa MO DEWJI"

Post a Comment

Loading...