Loading...

MKUU WA MKOA WA IRINGA ATEMBELEA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MAKAO MAKUU – DAR ES SALAAM

Loading...
MKUU WA MKOA WA IRINGA ATEMBELEA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MAKAO MAKUU – DAR ES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA MKOA WA IRINGA ATEMBELEA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MAKAO MAKUU – DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA MKOA WA IRINGA ATEMBELEA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MAKAO MAKUU – DAR ES SALAAM
link : MKUU WA MKOA WA IRINGA ATEMBELEA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MAKAO MAKUU – DAR ES SALAAM

soma pia


MKUU WA MKOA WA IRINGA ATEMBELEA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MAKAO MAKUU – DAR ES SALAAM


Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi, akiweka sahihi kwenye kitabu cha wageni alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es Salaam, mapema leo tarehe 04/10/2018.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CGF) Thobias Andengenye (wa pili kushoto) akitoa maelezo ya utendaji kazi wa Jeshi hilo kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam mapema leo tarehe 04/10/2018.
Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi, akifuatilia kwa karibu maelezo aliyokuwa akiyatoa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji CGF Thobias Andengenye, alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam, mapema leo tarehe 04/10/2018.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CGF) Thobias Andengenye akisalimiana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi, alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam mapema leo tarehe 04/10/2018.
Kamishna wa Operesheni Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CF) Billy Mwakatage akisalimiana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi, alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam mapema leo tarehe 04/10/2018.
Picha ya Pamoja, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CGF) Thobias Andengenye (wa kwanza kushoto) akiwa na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi, pamoja na Kamishna wa Operesheni (CF) Billy Mwakatage (wa kwanza Kulia), mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo, Jijini Dar es Salaam mapema leo tarehe 04/10/2018. (Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)


Hivyo makala MKUU WA MKOA WA IRINGA ATEMBELEA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MAKAO MAKUU – DAR ES SALAAM

yaani makala yote MKUU WA MKOA WA IRINGA ATEMBELEA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MAKAO MAKUU – DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MKOA WA IRINGA ATEMBELEA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MAKAO MAKUU – DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/mkuu-wa-mkoa-wa-iringa-atembelea-jeshi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKUU WA MKOA WA IRINGA ATEMBELEA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MAKAO MAKUU – DAR ES SALAAM"

Post a Comment

Loading...