MOHAMMED DEWJI 'ATEKWA' - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MOHAMMED DEWJI 'ATEKWA', tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
MOHAMMED DEWJI 'ATEKWA'link :
MOHAMMED DEWJI 'ATEKWA'
MOHAMMED DEWJI 'ATEKWA'
Mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji, anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha za moto leo saa 11 Alfajiri wakati akiingia kufanya mazoezi Gym ya Colosseum, Oysterbay Dar es salaam.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, inasemekana watu hao wamefyatua risasi hewani kuwatishia watu walikuwa karibu na eneo hilo kabla ya kuondoka naye.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha kutokea kwa kutukio hilo.
Kamanda Mambosasa amesema tayari Keshi la polisi linaendelea kufatilia tukio hilo ili kuwabaini wahusika.
Hivyo makala MOHAMMED DEWJI 'ATEKWA'
yaani makala yote MOHAMMED DEWJI 'ATEKWA' Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MOHAMMED DEWJI 'ATEKWA' mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/mohammed-dewji-atekwa.html
Related Posts :
Matukio : Pitia Hapa Vichwa Mbalimbali vya Magazeti ya Leo, 02:09:2017
Wazalendo 25 Blog , is a Social Media which gives our Audience current News, Entertainment and Adver… Read More...
Kutoka Kenya : Uchaguzi wa Urais nchini Kenya Kurudiwa mwezi Novemba
Wazalendo 25 Blog , is a Social Media which gives our Audience current News, Entertainment and Advertisements.
… Read More...
Nishati : Kamishna wa Madini Ashiriki zoezi la Uhakiki wa Dhahabu Inayosafirishwa Nje
Na Veronica Simba – Geita
Kamishna wa Madini Tanzania, Mhandisi Benjamin Mchwampaka, ameshuhudia na kushiriki katika zoezi la kuhakik… Read More...
Muziki : ZIDO NGARENARO Video Mpya , Msanii Mpya Kutoka Ngarenaro Arusha
Msanii Mdogo kutoka Ngarenaro, Alli Zido a.k.a ZIDO katika Wimbo wake Mpya unaokwenda kwa Jina la "NGARENARO" Tu Support vya Kwetu , Tum … Read More...
From Kenya News : Raila mourns death of students in school fire
Moi Girls High School, Nairobi. PHOTO/Courtesy
By Citizen Reporter For Citizen Digital
The Opposition National Super Alliance (NASA) lea… Read More...
0 Response to "MOHAMMED DEWJI 'ATEKWA'"
Post a Comment