Loading...
title : MOHAMMED DEWJI 'ATEKWA'
link : MOHAMMED DEWJI 'ATEKWA'
MOHAMMED DEWJI 'ATEKWA'
Mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji, anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha za moto leo saa 11 Alfajiri wakati akiingia kufanya mazoezi Gym ya Colosseum, Oysterbay Dar es salaam.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, inasemekana watu hao wamefyatua risasi hewani kuwatishia watu walikuwa karibu na eneo hilo kabla ya kuondoka naye.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha kutokea kwa kutukio hilo.
Kamanda Mambosasa amesema tayari jeshi la polisi linaendelea kufatilia tukio hilo ili kuwabaini wahusika.
Kamanda Mambosasa amesema tayari jeshi la polisi linaendelea kufatilia tukio hilo ili kuwabaini wahusika.
Hivyo makala MOHAMMED DEWJI 'ATEKWA'
yaani makala yote MOHAMMED DEWJI 'ATEKWA' Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MOHAMMED DEWJI 'ATEKWA' mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/mohammed-dewji-atekwa_11.html
0 Response to "MOHAMMED DEWJI 'ATEKWA'"
Post a Comment