Loading...
title : MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI MHE DKT.JULIAN BUJUGO AAGWA LEO
link : MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI MHE DKT.JULIAN BUJUGO AAGWA LEO
MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI MHE DKT.JULIAN BUJUGO AAGWA LEO
Akiongoza shughuli hiyo ya kuaga mwili wa aliekua Diwani Kata ya Magomeni Manispaa ya Kinondoni Dkt.Julian Bujugo iliyohudhuriwa pia na viongozi wa vyama na Serkali, Mstahiki Meya wa Manispaa ya kinondoni Mh.Benjamini Sitta amesema, Kinondoni imepoteza mpiganaji, mpenda haki, mtetezi wa wanyonge, na mzalendo.
"Bujugo alikuwa mzalendo, alikuwa ni mtu aliyependa kuona mambo yanakwenda, wanyonge wanapata haki, hata siku ambayo usiku wake mauti inamkuta, Mh Bujugo alikuja ofisini kwangu mchana kwa swala la walemavu wa magomeni kuhusiana na ada ya usajili wa kikundi wanayotozwa", alisema Meya Sitta.
Shughuli hii ya kuuaga mwili wa marehemu Julian Rushaigo Bujugo imehudhuriwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Ndg Aron Kagurumjuli, wakuu wa idara na vitengo, wananchi wa kata ya Magomeni, pamoja na viongozi wa vyama na serikali, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Bi.Kate Kamba, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni Ndg. Harold Maruma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda, pamoja na Baraza la Madiwani la Manispaa ya Kinondoni.
Bwana ametoa, bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda
akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliekua Diwani Kata ya Magomeni Manispaa ya Kinondoni Dkt.Julian Bujugo leo katika viwanja nya Manispaa hiyo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Sylivia Magdalena Kamba akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa aliekua Diwani Kata ya Magomeni Manispaa ya Kinondoni Dkt.Julian Bujugo leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa MMG)
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamin Sitta akitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa alikua Diwani wa Kata ya Magomeni Manispaa ya Kinondoni Dkt. Julian Bujugo katika viwanja vya manispaa hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Madiwani walioshiriki kuaga mwili wa aliekua Diwani Kata ya Magomeni Manispaa ya Kinondoni Dkt. Julian Bujugo.
Sehemu ya waombolezaji walioshiriki kuaga mwili wa aliekua Diwani Kata ya Magomeni Manispaa ya Kinondoni Dkt. Julian Bujugo.
Sehemu ya waombolezaji walioshiriki kuaga mwili wa aliekua Diwani Kata ya Magomeni Manispaa ya Kinondoni Dkt. Julian Bujugo.
Sehemu ya waombolezaji walioshiriki kuaga mwili wa aliekua Diwani Kata ya Magomeni Manispaa ya Kinondoni Dkt. Julian Bujugo.(Picha na Emmanuel Massaka wa MMG)
Sehemu ya waombolezaji walioshiriki kuaga mwili wa aliekua Diwani Kata ya Magomeni Manispaa ya Kinondoni Dkt. Julian Bujugo.
Hivyo makala MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI MHE DKT.JULIAN BUJUGO AAGWA LEO
yaani makala yote MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI MHE DKT.JULIAN BUJUGO AAGWA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI MHE DKT.JULIAN BUJUGO AAGWA LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/mwili-wa-aliyekuwa-diwani-wa-kata-ya.html
0 Response to "MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI MHE DKT.JULIAN BUJUGO AAGWA LEO"
Post a Comment