Loading...

NAIBU WAZIRI HASUNGA AFUNGA TAMASHA LA UTAMADUNI WA MTANZANIA

Loading...
NAIBU WAZIRI HASUNGA AFUNGA TAMASHA LA UTAMADUNI WA MTANZANIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI HASUNGA AFUNGA TAMASHA LA UTAMADUNI WA MTANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI HASUNGA AFUNGA TAMASHA LA UTAMADUNI WA MTANZANIA
link : NAIBU WAZIRI HASUNGA AFUNGA TAMASHA LA UTAMADUNI WA MTANZANIA

soma pia


NAIBU WAZIRI HASUNGA AFUNGA TAMASHA LA UTAMADUNI WA MTANZANIA

Naibu Waziri wa Maliasili na Utaliii, Mhe. Japhet  Hasunga akizungumza na  Athumani Issa wakati alipotembelea nyumba ya kabila la Wamwela katika kijiji cha Makumbusho wakati wa   kufunga tamasha  la utamaduni wa mtanzania inayowakilishwa na jamii za mkoa wa Lindi lililofanyika kwa muda wa siku nne katika  kijiji hicho  jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utaliii, Mhe. Japhet  Hasunga akiwasaidia akina Mama wa kabila la Wamwela  kutwanga nafaka  wakati alipotembelea nyumba ya kabila la Wamwela katika kijiji cha Makumbusho wakati wa   kufunga tamasha  la utamaduni wa mtanzania inayowakilishwa na jamii za mkoa wa Lindi lililofanyika kwa muda wa siku nne katika  kijiji hicho  jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Maliasili na Utaliii, Mhe. Japhet  Hasunga akipewa kibuyu chenye  pombe na Halima Abdallah ambacho kimekuwa kikitumiwa na kabila hilo kunywea pombe  wakati alipotembelea nyumba ya kabila la Wamwela katika kijiji cha Makumbusho wakati wa   kufunga tamasha  la utamaduni wa mtanzania inayowakilishwa na jamii za mkoa wa Lindi lililofanyika kwa muda wa siku nne katika  kijiji hicho  jijini Dar es Salaam 
Naibu Waziri wa Maliasili na Utaliii, Mhe. Japhet  Hasunga akiangalia baadhi ya mabaki ya samaki aina ya nguva aliyekutwa amekufa kando kando mwa bahari ya Hindi mkoani Lindi wakati alipotembelea mabanda  kabla ya   kufunga tamasha  la utamaduni wa mtanzania inayowakilishwa na jamii za mkoa wa Lindi lililofanyika kwa muda wa siku nne katika  kijiji hicho  jijini Dar es Salaam 
Naibu Waziri wa Maliasili na Utaliii, Mhe. Japhet  Hasunga (katikati) akiwa na Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi wakiwa wameongozana na   Wakurugenzi pamoja na Wazee wa kabila la Wamwela wakati kutembelea nyumba ya kabila la Mwela katika kijiji cha Makumbusho  kabla ya kufunga tamasha  la utamaduni wa mtanzania inayowakilishwa na jamii za mkoa wa Lindi lililofanyika kwa muda wa siku nne katika  kijiji hicho  jijini Dar es salaam 
Baadhi ya vikundi vya ngoma vikitumbuiza wakati wa  kufunga tamasha  la utamaduni wa mtanzania inayowakilishwa na jamii za mkoa wa Lindi lililofanyika kwa muda wa siku nne katika kijiji cha Makumbusho    jijini Dar es salaam 
                              ( PICHA ZOTE NA LUSUNGU HELELA)   



Hivyo makala NAIBU WAZIRI HASUNGA AFUNGA TAMASHA LA UTAMADUNI WA MTANZANIA

yaani makala yote NAIBU WAZIRI HASUNGA AFUNGA TAMASHA LA UTAMADUNI WA MTANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI HASUNGA AFUNGA TAMASHA LA UTAMADUNI WA MTANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/naibu-waziri-hasunga-afunga-tamasha-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI HASUNGA AFUNGA TAMASHA LA UTAMADUNI WA MTANZANIA"

Post a Comment

Loading...