Loading...
title : NDITIYE AKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI A BANDARI KAVU, KWALA VIGWAZA
link : NDITIYE AKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI A BANDARI KAVU, KWALA VIGWAZA
NDITIYE AKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI A BANDARI KAVU, KWALA VIGWAZA
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye akitoa maelekezo kwa wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa bandari kavu, Kwala eneo la Vigwaza mkoani Pwani. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma za Uhandisi, Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania Mhandisi Charles Otare na wa kwanza kulia ni Meneja wa Mradi huo kutoka SUMA JKT Raymond Kweka.
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (aliyesimama katikati) akipata maelezo kuhusu maendeleo ya mradi wa ujenzi wa bandari kavu, Kwala mkoani Pwani kutoka kwa Mkurugenzi wa huduma za Uhandisi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania, Mhandisi Charles Ogare (anayetoa maelezo). Wa kwanza kulia ni Meneja wa Mradi huo kutoka SUMA JKT, Raymond Kweka.
Muonekano wa eneo linaloandaliwa kujenga njia ya reli kwa ajili ya kusafirisha mizigo inayoingia na kutoka bandari kavu, Kwala mkoani Pwani wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (hayupo pichani) ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi huo.
Hivyo makala NDITIYE AKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI A BANDARI KAVU, KWALA VIGWAZA
yaani makala yote NDITIYE AKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI A BANDARI KAVU, KWALA VIGWAZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NDITIYE AKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI A BANDARI KAVU, KWALA VIGWAZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/nditiye-akagua-maendeleo-ya-mradi-wa.html
0 Response to "NDITIYE AKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI A BANDARI KAVU, KWALA VIGWAZA"
Post a Comment