Loading...

OCD KYERWA ATUHUMIWA KUSINDIKIZA KAHAWA YA MAGENDO, Waziri Mkuu aagizwa achukuliwe hatua

Loading...
OCD KYERWA ATUHUMIWA KUSINDIKIZA KAHAWA YA MAGENDO, Waziri Mkuu aagizwa achukuliwe hatua - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa OCD KYERWA ATUHUMIWA KUSINDIKIZA KAHAWA YA MAGENDO, Waziri Mkuu aagizwa achukuliwe hatua, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : OCD KYERWA ATUHUMIWA KUSINDIKIZA KAHAWA YA MAGENDO, Waziri Mkuu aagizwa achukuliwe hatua
link : OCD KYERWA ATUHUMIWA KUSINDIKIZA KAHAWA YA MAGENDO, Waziri Mkuu aagizwa achukuliwe hatua

soma pia


OCD KYERWA ATUHUMIWA KUSINDIKIZA KAHAWA YA MAGENDO, Waziri Mkuu aagizwa achukuliwe hatua

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Augustine Ollomi awachukulie hatua askari polisi wote wa wilaya ya Kyerwa wanaotuhumiwa kusindikiza kahawa ya magendo inayouzwa nchi jirani akiwemo Mkuu wa Polisi wa Wilaya hiyo, Justin Joseph.

Ametoa agizo hilo leo (Jumapili, Oktoba 7, 2018) baada ya kukagua kiwanda cha kukoboa kahawa cha Nkwenda wilaya Kyerwa katika siku ya pili ya ziara yake ya kikazi mkoani Kagera. Katika ziara hiyo Waziri Mkuu ameambatana na Mkewe Mama Mary Majaliwa.


“Askari polisi wa wilaya ya Kyerwa pamoja na OCD wao wanatuhumiwa kusindikiza kahawa inayosafirishwa kwa njia ya magendo kwenda nchi ya jirani kupitia njia mbalimbali zisizo rasmi zikiwemo za Kumisongo, Kashaijo na Omukatoma.”

Waziri Mkuu amesema ni jambo la hatari kama askari Polisi wanasindikiza kahawa inayouzwa kwa magendo, hivyo ameagiza jambo hilo lidhibitiwe haraka.”Marufuku kupeleka kahawa nje ya nchi kwa njia ya magendo na polisi msishiriki katika butura.”

Katika hatua nyingine,Waziri Mkuu amesema kuanzia msimu ujao wa kahawa, minada yote ya kahawa inayozalishwa mkoani Kagera itafanyika ndani ya mkoa huo badala ya kufanyika Moshi, mkoani Kilimanjaro.

Waziri Mkuu amesema minada yote ya kahawa ikifanyika mkoani Kagera itawawezesha wakulima kulipwa fedha zao kwa muda mfupi na pia itapunguza makato  yasiyokuwa ya lazima ambayo ni kero kwa wakulima.

“Wanunuzi watafuata kahawa ilipo, utaratibu huu utawawezesha wakulima kulipwa fedha zake kwa wakati. Mnada ukifanyika katika maeneo ya uzalishaji utamuwezesha mkulima kujua bei, tofauti na unavyofanyika Moshi kwani ni rahisi mkulima kuibiwa.”

Waziri Mkuu amewataka wananchi kuendelea kuwa na imani na Serikali yao ambayo imedhamiria kuwaletea maendeleo na kwamba itahakikisha kila mmoja anapata haki yake wakiwemo wakulima ambao watasaidiwa katika kutafutiwa masoko ya mazao yao.


Hivyo makala OCD KYERWA ATUHUMIWA KUSINDIKIZA KAHAWA YA MAGENDO, Waziri Mkuu aagizwa achukuliwe hatua

yaani makala yote OCD KYERWA ATUHUMIWA KUSINDIKIZA KAHAWA YA MAGENDO, Waziri Mkuu aagizwa achukuliwe hatua Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala OCD KYERWA ATUHUMIWA KUSINDIKIZA KAHAWA YA MAGENDO, Waziri Mkuu aagizwa achukuliwe hatua mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/ocd-kyerwa-atuhumiwa-kusindikiza-kahawa_7.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "OCD KYERWA ATUHUMIWA KUSINDIKIZA KAHAWA YA MAGENDO, Waziri Mkuu aagizwa achukuliwe hatua"

Post a Comment

Loading...