Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WANUNUZI WA KOROSHO JIJINI DAR ES SALAAM NA KUTOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU BEI YA KOROSHO
link : RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WANUNUZI WA KOROSHO JIJINI DAR ES SALAAM NA KUTOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU BEI YA KOROSHO
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WANUNUZI WA KOROSHO JIJINI DAR ES SALAAM NA KUTOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU BEI YA KOROSHO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanunuzi wa zao la Korosho katika kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam na kutoa msimamo wa Serikali kuhusu bei ya Korosho kuwa isipungue shilingi 3000 kwa kilo moja. 

Wadau na Wanunuzi wa Korosho wakiwa wanasikiliza Maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokutana nao na kuzungumza nao jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WANUNUZI WA KOROSHO JIJINI DAR ES SALAAM NA KUTOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU BEI YA KOROSHO
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WANUNUZI WA KOROSHO JIJINI DAR ES SALAAM NA KUTOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU BEI YA KOROSHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WANUNUZI WA KOROSHO JIJINI DAR ES SALAAM NA KUTOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU BEI YA KOROSHO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/rais-dkt-magufuli-akutana-na-kuzungumza_28.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WANUNUZI WA KOROSHO JIJINI DAR ES SALAAM NA KUTOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU BEI YA KOROSHO"
Post a Comment