Loading...
title : RAIS WA ZANZIBAR, DKT. ALI MOHAMED SHEIN AFUNGA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR
link : RAIS WA ZANZIBAR, DKT. ALI MOHAMED SHEIN AFUNGA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR
RAIS WA ZANZIBAR, DKT. ALI MOHAMED SHEIN AFUNGA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein katikati akiwa amefuatana na Waziri wa Habari Utalii na mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo (kulia)na viongozi wengine mara alipowasili katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein katikati alipokabidhi zawadi kwa Uongozi wa Hotel ya Pack Hayati waliopata ushindi wa kwanza katika mashindano mbalimbali ya mahoteli katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein akitoa hotuba ya ufungaji wa Maonesho ya Kwanza ya Utalii yaliochukua muda wa siku Tatu hafla iliofanyika Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR, DKT. ALI MOHAMED SHEIN AFUNGA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR, DKT. ALI MOHAMED SHEIN AFUNGA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR, DKT. ALI MOHAMED SHEIN AFUNGA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/rais-wa-zanzibar-dkt-ali-mohamed-shein_21.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR, DKT. ALI MOHAMED SHEIN AFUNGA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR"
Post a Comment