Loading...
title : RC MAKONDA AIBUKIA KIMARA MWISHO KUJIONEA NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI KUHUSU MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI WA DART
link : RC MAKONDA AIBUKIA KIMARA MWISHO KUJIONEA NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI KUHUSU MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI WA DART
RC MAKONDA AIBUKIA KIMARA MWISHO KUJIONEA NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI KUHUSU MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI WA DART
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda akizungumza na Wakazi wa Kimara mara baada ya kutembelea kituo cha Mabasi ya Mwendokasi na kujionea kero na changamoto za mradi huo na kuahidi kwenda kuzungumza na Waziri wa Tamisemi, Suleimani Jaffo ili kulitafutia ufumbuzi wa haraka.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda akitembelea eneo la kituo na kujionea Changamoto zilizopo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda , akifungua geti lililofungwa eneo la Kimara Mwisho Wananchi wasipite na kuamuru litumike kuanzia leo ili kiupunguza kero kwa Wananchi
Wananchi waliokuwa wamefurika eneo la Kimara kusubiri Mabasi ya Mwendokasi asubuhi ya leo.
Abiria wakiwa wamebanana ndani ya basi la Mwendokasi kutokana na uchache wa mabasi
Wakazi wa Mbezi na Kimara wakiwa wamejazana kumsikiliza mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam eneo la Kimara Mwisho

Hivyo makala RC MAKONDA AIBUKIA KIMARA MWISHO KUJIONEA NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI KUHUSU MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI WA DART
yaani makala yote RC MAKONDA AIBUKIA KIMARA MWISHO KUJIONEA NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI KUHUSU MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI WA DART Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA AIBUKIA KIMARA MWISHO KUJIONEA NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI KUHUSU MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI WA DART mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/rc-makonda-aibukia-kimara-mwisho.html
0 Response to "RC MAKONDA AIBUKIA KIMARA MWISHO KUJIONEA NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI KUHUSU MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI WA DART"
Post a Comment