Loading...

RPC Manyara Abaini Mbinu Mpya Za Kusafirisha Madawa Ya Kulevya

Loading...
RPC Manyara Abaini Mbinu Mpya Za Kusafirisha Madawa Ya Kulevya - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RPC Manyara Abaini Mbinu Mpya Za Kusafirisha Madawa Ya Kulevya, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RPC Manyara Abaini Mbinu Mpya Za Kusafirisha Madawa Ya Kulevya
link : RPC Manyara Abaini Mbinu Mpya Za Kusafirisha Madawa Ya Kulevya

soma pia


RPC Manyara Abaini Mbinu Mpya Za Kusafirisha Madawa Ya Kulevya

 
 
Na John Walter-Babati
Watu wawili wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Manyara  baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya Mirungi  kilo tano sawa na mabunda 14 yakisafirishwa kutoka mkoani Arusha kwenda Babati.

Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara  Agustino Senga  amesema watuhumiwa hao wamekamatwa Oktoba 6-2018 Majira ya saa 12 Jioni katika kituo cha ukaguzi wa magari  eneo la Minjingu kata ya Nkaiti wilaya ya Babati  wakiwa wameficha madawa hayo ya kulevya kwenye miili yao maeneo ya tumboni hadi mgongoni.
 
Amewataja waliokamatwa ni Aisha Mohamedi  [38] mkazi wa Endasaki, Amani Hassan [30] mkazi wa Sakina Arusha ambao walikuwa wakisafirisha Mirungi kilo hiyo iliyokuwa imefungwa kwenye  magazeti na kuwekwa  gundi ya karatasi na kisha kuifunika kwenye nguo walizokuwa wamevaa.

 Senga amesema Watu hao walikamatwa wakiwa katika gari  kampuni ya Makara yenye namba za Usajili T 128 -PDC  Fuso wakiwa wamejifunga madawa hayo kwa mabunda madogo madogo 14 wakiwa wamejizungushia tumboni ili kuonekane ni mtu mwenye vitambi au mwenye ujauzito na muda wowote watapandishwa kizimbani.

Ikumbukwe kwamba Matumizi ya madawa ya kulevya yameathiri vijana wengi kiafya kutokana na baadhi yao kushindwa kufanya kazi , hivyo kulazimika kujihusisha na matukio ya wizi katika maeneo mbalimbali hapa nchini.

Kamanda amewatahadharisha wakazi wa mkoa wa Manyara na wanaoingia katika mkoa huo kwamba Mkoa wake sio mlango wa kupitisha madawa ya kulevya.


Hivyo makala RPC Manyara Abaini Mbinu Mpya Za Kusafirisha Madawa Ya Kulevya

yaani makala yote RPC Manyara Abaini Mbinu Mpya Za Kusafirisha Madawa Ya Kulevya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RPC Manyara Abaini Mbinu Mpya Za Kusafirisha Madawa Ya Kulevya mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/rpc-manyara-abaini-mbinu-mpya-za.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RPC Manyara Abaini Mbinu Mpya Za Kusafirisha Madawa Ya Kulevya"

Post a Comment

Loading...