Loading...
title : SAMATTA:TUNAPASWA KUONGEZA JUHUDI KWA MICHEZO ILIYOBAKI.
link : SAMATTA:TUNAPASWA KUONGEZA JUHUDI KWA MICHEZO ILIYOBAKI.
SAMATTA:TUNAPASWA KUONGEZA JUHUDI KWA MICHEZO ILIYOBAKI.
Nahodha wa timu ya Taifa Stars Mbwana Samatta amesema kuwa bado wana kazi ngumu mbele yao kuweza kushinda michezo miwili inayowakabili ili kuweza kufuzu kushiriki fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon).
Stars ipo kundi L ambalo linaongozwa na timu ya Uganda ambayo ina point I0 huku Stars ikiwa nafasi ya pili baada ya kukusanya point tano.
"Tumeshinda mchezo wetu wa kwanza ni jambo la kushukuru,ila tunapaswa tujue furaha yetu iwe ya kiasi hasa kwa kuwa safari ndo inaanza na tunapaswa kuongeza juhudi hasa kwa mechi zetu zinazofuata.
"Malengo yetu ni kuweza kushinda mechi zetu zinazofuata ili kuweza kufuzu kushiriki fainali kwa kuwa hizo ndizo hesabu zetu na tumedhamiria kufanya kweli kwa kuwa inawezekana"alisema
Hivyo makala SAMATTA:TUNAPASWA KUONGEZA JUHUDI KWA MICHEZO ILIYOBAKI.
yaani makala yote SAMATTA:TUNAPASWA KUONGEZA JUHUDI KWA MICHEZO ILIYOBAKI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SAMATTA:TUNAPASWA KUONGEZA JUHUDI KWA MICHEZO ILIYOBAKI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/samattatunapaswa-kuongeza-juhudi-kwa.html
0 Response to "SAMATTA:TUNAPASWA KUONGEZA JUHUDI KWA MICHEZO ILIYOBAKI."
Post a Comment