Loading...

HOSPITALI YA MNAZIMMOJA YAFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI

Loading...
HOSPITALI YA MNAZIMMOJA YAFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HOSPITALI YA MNAZIMMOJA YAFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HOSPITALI YA MNAZIMMOJA YAFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI
link : HOSPITALI YA MNAZIMMOJA YAFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI

soma pia


HOSPITALI YA MNAZIMMOJA YAFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI

Na Ali Issa Maelezo Zanzibar

Jumla ya kinamama 1,339 wamejitokeza katika uchunguzi pamoja na kufanyiwa vipimo vya maradhi ya kensa ya shingo ya kizazi katika hospitali kuu ya mmanazi mmoja mjini Unguja.

Mratibu wa mradi wa uchunguzi wa kensa ya shingo ya kizazi,Dk. Omar Mwalimu Omar alitoa kakwim hiyo huko hospitali ya mnazi mmoja wakati akizungumza na waandishi wa habari baada ya ziara maalum ya kutembelea eneo linalo endeshwa zoezi hilo. Amesema katika zoezi hilo lililoanza Jumatatu iliopita hadi leo (Jumatatu) watu 36 kati hao wametiliwa mashaka na kufikia maamuzi ya kuchukuliwa vinyama ili kuchunguzwa kwa hatua nyengine na baadaye yatatoka majibu rasm ya afya zao.

“Mara baada ya kuwafanyia uchunguzi mwengine na pindi tukibaini kuna mwenye maradhi hayo , tutaanza naye kwa kumpata tiba kwa kutumia dawa kwa mujibu wa taratibu za kitaalam”alisema Dk Omar. Naye mtaalamu wa magonjwa ya saratani katika hospitali ya mnazi maoja, Dk Abdalla Yussuf Mohamed alisema katika zoezi hilo wanachunguza vinasaba vyote vya akinamama hao ambavyo ni muhimu katika uchunguzi huo.

Mapema Naibu Spika Mgeni Hassan Juma alisema ni vyema wakaongezwa wataalamu wazalendo katika kupata kujifunza kutoka kwa watalamu wakichina waliopo. Aidha aliwapongeza akinamama hao waliojitokeza katika zoezi hilo na kuwataka waendelee kuwahamasisha wenzao ili zoezi hilo lifanikiwe kama lilivyokusudiwa.
Mratibu wa Mradi wa Uchukuzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar Dkt. Omar Mwalim Omar akimkaribisha Naibu Spika Mhe. Mgeni Hassan Juma katika Tiba ya Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi inayofanyika Hospitali ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar. 
Mratibu wa Mradi wa Uchukuzi wa Saratani ya Singo ya Kizazi Zanzibar Omar Mwalim Omar akimuonyesha jambo Naibu Spika Mhe. Mgeni Hassan Juma wakati alipowatembelea Madaktari wanaoendelea kutoa matibabu Hospitalini hapo. 
Naibu Spika Mhe. Mgeni Hassan Juma akipata maelezo kutoka kwa Daktari wa Maabara Kibwana Omar Kibwana wakati alipotembelea Chumba hicho cha Maabara Hospitalini hapo (kulia) Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman. 
Mtaalamu wa Magonjwa ya Saratani ya Shingo ya Kizazi Hospitali ya Mnazi mmoja Dkt. Abdalla Yusssuf Mohamed akimpatia maelezo Naibu Spika Mhe. Mgeni Hassan Juma wakati alipotembelea katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Zanzibar. 



Hivyo makala HOSPITALI YA MNAZIMMOJA YAFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI

yaani makala yote HOSPITALI YA MNAZIMMOJA YAFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HOSPITALI YA MNAZIMMOJA YAFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/hospitali-ya-mnazimmoja-yafanya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HOSPITALI YA MNAZIMMOJA YAFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI"

Post a Comment

Loading...